Je, una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

Je, una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

pale magomeni usalama kituo cha mwendokasi, kuna boda uelekeo magomeni mapipa, ila kapita njia ya mwendokasi ya kurudi manzese.
Ile amemaliza kituo cha mwendokasi ni kama vile akataka apende kwenye tuta linalotengenisha gari za mwendokasi za kwenda na kurudi.
Pikipiki ika kita ikamrusha juu, halafu alivyotua katua ametanguliza kifua.
Bahati mbaya hatukujua ameendeleaje, ila alianguka vibaya.
 
Kuna boda alipita na side mirror ya gari yangu halafu akalala mbele gari yenyewe ilikuwa Mercedes.
Naenda kuulizia dukani wananiambia hawauzi side mirror moja wanauza complete set .
Ilibidi nipaki kama wiki ili kujichanga
 
Tupo msiban hapa nyamongolo center mwanza.msiba ni boda aliparamia bajaji kamua shemeji aliekua ndan ya bajaj 😚😚😚 tunazka kesho.boda kwakwel sina hata lakusema
Pole sana mkuu, unaishi hapo Nyamongolo? Mi nipo maeneo ya Jirani na hapo
 
Bodaboda ******* Sana,wanavyokufa wafe tu ila naumia wanavyosababishia ajali madereva wastaarabu,.Kuna siku mzee wa 60s yupo na pikipiki yake Vespa speed 10 Ananyoosha Main road kwenye T Junction, bodaboda akakitaza speed 120 bila kuangalia kushoto Wala kulia,akamvaa mzee wa watu ubavuni,palepale akafariki..

Nilipanda bodaboda,barabara kubwa speed nyingi anataka ku over take kushoto Lori,nikampa mtusi akarudi gear..
 
Kuna mmoja aliwahi kujaa kwenye gari,amepiga indicator ya kushoto anakata kulia hamadi huyu hapa na boda wakanijalia nawauliza huyu kapiga taa ya kukata kushoto ila kaenda kulia Mimi nifanyaje?Oooh braza nili jisahau samahani nikamwambia siku nyingine utamwaga mavi uwape watu shida kuzoa nikasepa zangu.
 
Maafisa usafirishaji tunasakamwa sana mkuu,sijui kosa letu nini!
Kuna wakati unakuta pikipiki kama 100 wamepakizana watatu watatu, wamebeba visungura, wakifika kwenye kijiwe cha bodaboda wanapiga kelele na kuendesha hovyo sana. .. UNADHANI KWA TABIA ILE KUNA MTU ATAWAELEWA?
 
Back
Top Bottom