Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Nadhani Ni Vyema Tuishie Hapa.....!!!Tuendelee Na Mapambano Ya Kila Siku Ya Kimaisha....Boda ni vijana wanaopambania maisha tu , ukiwa mwanaume kama mimi , hautaogopa kupata pesa hata kwa njia ya kifo ili kulinda familia yako tu🤔
Hao ni mbwa kabisa!Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.
Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.
Aisee hawa jamaa (bodaboda na baadhi ya waendesha pikipiki) ukikutana nao mtaani/barabarani jinsi wanavyoendesha pikipiki zao (fujo zao za kuchomekea, na kuingia high way bila tahadhari) unaweza kutamka maneno makali dhidi yao.
KARIBU TUJADILI:
Una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?
Right Marker
Dar es salaam.
Uliwapa mtaji walikataa mkuu?Hao ni mbwa kabisa!
Boda ni vijana wanaopambania maisha tu , ukiwa mwanaume kama mimi , hautaogopa kupata pesa hata kwa njia ya kifo ili kulinda familia yako tu
Mtaji wa nini?ili waache uthenge barabarani au? mtakufa sana kenge nyie msiojihurumia hata kidogoUliwapa mtaji walikataa mkuu?
Hao ni mbwa kabisa!
Mbwa naona niwewe unayetukana bodaboda. Sidhani kama una utajiri wa kuita wengine mbwa.Hao ni mbwa kabisa!
Ni fujo Kwenda mbele,shida wengi wao Hawana Elimu ya barabarani!Amejua kuwasha na kuendesha ni fully misifa!Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.
Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.
Aisee hawa jamaa (bodaboda na baadhi ya waendesha pikipiki) ukikutana nao mtaani/barabarani jinsi wanavyoendesha pikipiki zao (fujo zao za kuchomekea, na kuingia high way bila tahadhari) unaweza kutamka maneno makali dhidi yao.
KARIBU TUJADILI:
Una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?
Right Marker
Dar es salaam.
Binadamu wenzake asiwaite mbwa,si uungwana kubeza utu wa MTU!Uliwapa mtaji walikataa mkuu?
Ndiyo,ili waache hiyo kazi mvulana mzuriMtaji wa nini?ili waache uthenge barabarani au? mtakufa sana kenge nyie msiojihurumia hata kidogo
Huoni mitusi anayotoa.....sonona mkuu...tumvumilieBinadamu wenzake asiwaite mbwa,si uungwana kubeza utu wa MTU!