Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

Labda wawape wake zao, Mana muonekanwo wakike kabisa.
 
Mbona wanamatafuta Messi ili wamuue sasa shida nini?
Maana jana risasi za kutosha zimepigwa dukani kwake na wakaacha ujumbe kwamba "Tunakusubiri"
 
Back
Top Bottom