Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 948
- 1,911
Nilipigwa pc kwny abood ya dar moro sitosahau. Wale jamaa ni kama wana dawa hivi mana nakumbuka kabisa nilikua nahisi kitu kibaya kinaendleea kwa mtu aliekua amesimama pemben ya siti niliyokua nimekaa. Sijui ni uzembe au vipi na ule mziki uliokua unapiga kwny masikio yangu alooo. Mbaka leo nikiiskiza ile nyimbo huwa naikumbuka ile pc mana wayback mashine hp ya almst m1 mtoto mdogo wa chuo hta kujitegemea bado ila ujanja tu mjini.
Kama bahati ile pc nikaona inauzwa kwny website moja namimi nkaiomba namuuzaji tuonane niichukue. Meeting point ilkua machinga complex kule. Jamaa tunwasiliana vizuri tu. Nimefika ananielekeza tu njoo nakuona, namimi napanda tu kumfuata. Bila kuogopa nilienda mwnyw bila kuogopa. Lakini yule jamaa alikua mjanja sana. Nadhani alintambua akazima na simu sikumuona wala kumpata tena.....mbaka leo kwny basi mzigo wangu bora nipakate tu mbaka nafika ila sio kuibiwa tena vile