Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Je, unaamini kuwa uchawi upo?

Hamna uchawi bali kuna imani za kichawi.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Wasomi wa Kiafrika wana vested interest ya ku undermine habari ya mzungu kutokakatika mizungu.

Racial pride.

Umeiona hiyo link?

Unasema ilikuwa inaaminika Mungu haishi duniani katika jamii iliyoamini kwamba mpaka miti na wanyama ni miungu?

Ngoja niicheki hiyo link uliyoitoa.

Kuhusu wasomi wa Kiafrika ku undermine habari za mungu kuwa mzungu...hilo ni suala la kimtazamo tu.

Mzungu atakuwaje mungu wakati mzungu huyo huyo ndo katuletea ukristo unaohubiri habari za mungu tunayeambiwa yupo huko mbinguni?

Hao wazungu walilieneza hilo neno la mungu kwa kuzunguka huku na kule. Na huko kuzunguka kwao kueneza hizo imani zao ndo kukazaa hilo jina la mzungu.

Kwa nini watu wamwone mzungu kuwa ndiye mungu ilhali yeye mwenyewe [huyo mzungu] anahubiri habari za mungu aliyeko mbinguni?

It just doesn't make sense at all.

But let me check out the link you provided.
 
Mzungu kama kaitwa Mungu alipoanza kuja tu,itakuwa kabla ya kuanza kueneza Ukristo.

In fact, jamii ya Waswahiliinakuwa si jamii ya kwanza kumuita mzungu Mungu.

Ukisomahistoria ya Hernan Cortez alivyoingia Mexico kutoka Spain utaona Aztec/ Mexica tribes ziliwaona kama miungu.

Na hilo lilichangiakuwafanya wapate urahisi wa kushinda.

This is probably the reason baadaye baada ya kuona human traits zao Kinjekitile naye akaja ki supernatural katika vita vya Maji Maji kuwaambia watu risasi zitageuka maji.
 
Upo ila si lazima kuamini ktk uchawi,.Kujua na kuamini ni vitu Separate

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
 
Siamini uchawi. Lakini nawakilisha kama nilivyoambiwa.

Wanasema anajikuta kalazwa nje.

Habari ni kuwa mambo hayo yamewakuta marais wote waliokaa pale.

Nyerere, Mwinyi, Kikwete, Mkapa na sasa Magufuli.

Ndiyo maana Nyerere aliamua kukaa Msasani, Mwinyi akakaa Oysterbay, Mkapa akakaa Sea View. Wakivyokuwa marais.

Aliyepaweza ni Kikwete, ambaye alileta mafundi kutoka Bagamoyo.

Habari ni kwamba aliyemsaidia Magu ku deal na hayo mambo ni Bashite. Ambaye kampelekea mafundi wa Bagamoyo. Ambao kila mwezi ni lazima wa recharge battery.

Ndiyo maana Magu piga ua galagaza hamuachi Bashite.

Ndiyo maana ghafla bin vuu unasikia serikali inataka kuhamia Dodoma.

Watoto wa Kikwete na Mkapa washawahi kusema habari za Ikulu kuwa na mauzauza.

Lakini kama nilivyosema mwanzo. Siamini uchawi. Naeleza nilichoambiwa tu.

Sent from my Kimulimuli

Aiseeh..natamani kuijua zaidi hii kitu.nitakutafuta kivyanguvyangu
 
Kujua ni kuwa na taarifa juu ya kitu fulani
Kuamini ni kuwa na yakini juu ya kitu fulani

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?
 
Kwanza kabisa Kujua kitu ktk usahihi wake haimaanishi umeamini,.Na waweza kuwa na taarifa ambazo si sahihi ukawa Bdo unajua ila upo ktk muelekeo wa kupotoka, Maana still unaweza ukawa unajua mungu yupo WHICH IS CORRECT still ukawa HUAMINI..
so shortly hpo utakua UMEJUA

Swali langu limeuliza.

Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?

Hujalijibuswali nililokuuliza.
 
Swali langu limeuliza.

Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?
Jibu nimekupa hpo
kuna jibu kwa mkato, kwa swali+Kwa maelezo
So maelezo yasome vizuri

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
 
Jibu nimekupa hpo
kuna jibu kwa mkato, kwa swali+Kwa maelezo
So maelezo yasome vizuri

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Hujajibu swali hili.

Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?

Labda nikupe mifano kukurahisishia.

Ukiambiwa Lowassa kashinda uchaguzi wa urais wa Tanzania 2015, ukakubali hivyo, wakati kiukweli kashinda Magufuli, habari ya aliyeshinda uchaguzi wa Tanzania ni nani unaijua au unaamini tu?

Ukiambiwa pembetatu ya Euclid ina nyuzi 360,ukakubali hilo, wakati pembetatu ya Euclid ina nyuzi 180, habari ya nyuzi za pembetatu ya Euclid unaijua au unaamini?
 
Hujajibu swali hili.

Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?

Labda nikupe mfano kukurahisishia.

Ukiambiwa Lowassa kashinda uchaguzi wa urais wa Tanzania 2015, ukakubali hivyo, wakati kiukweli kashinda Magufuli, habari ya aliyeshinda uchaguzi wa Tanzania ni nani unaijua au unaamini tu?
UMEJUA
Kwanini?.
Kwa s'bu mtu huyu atakua na taarifa za suala hilo, ila kuwa na yakini juu ya Jambo hilo itabaki kuwa kitu cha Ghaibu kwakua hata aliyemwambia hatajua km mtu hyo Kaamini au Hajaamini ila atabaki Anajua Mtu huyo ana taarifa ya Jambo hilo
Na nitakushangaa sana km utasema KAAMINI kwakua huna kigezo cha msingi cha kuthibitisha Hilo juu ya kuamini kwake

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
 
UMEJUA
Kwanini?.
Kwa s'bu mtu huyu atakua na taarifa za suala hilo, ila kuwa na yakini juu ya Jambo hilo itabaki kuwa kitu cha Ghaibu kwakua hata aliyemwambia hatajua km mtu hyo Kaamini au Hajaamini ila atabaki Anajua Mtu huyo ana taarifa ya Jambo hilo
Na nitakushangaa sana km utasema KAAMINI kwakua huna kigezo cha msingi cha kuthibitisha Hilo juu ya kuamini kwake

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Umejuaje kitu wakati umekubali sicho?

Umekubali pembetatu ya Euclid ina nyuzi 360.

Mwalimu kakupa mtihani anataka kujua kama unajua au hujui pembetatu ya Euclid ina nyuzi 180.

Anakuuliza pembetatu ya Euclid ina nyuzi ngapi?

Unamjibu 360. Wakati ina nyuzi 180.

Akupe pata kwamba umejua au akupe kosa kwamba hujui?
 
kutokua na taarifa sahihi bdo haitoi maana ya KUJUA., Kwani ukisoma "tanganyika ilipata uhuru Mwaka 1967" utakua Umejua au umeamini?.

Back
Top Bottom