LUCKY BANANA
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 461
- 226
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Nimeokoka ndugu kwa hiyo ni ngumu sana kunipata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Nimeokoka ndugu kwa hiyo ni ngumu sana kunipata.
Hakuna ibilisi. Ila uchawi upoMtu kusema uchawi haupo maana yake ni kusema Ibilisi hayupo
sent from servant of God
Unaweza kuta wewe nawe ni mchawi ila unabisha ili muwapumbaze watu. Siku zote wachawi hukataa kuwa wao sio wachawi.Hizi ni story za wanavijiji tu na hazina ukweli wowote. Nyoka "anamiliki" vijiji 15? 😀
Wasomi wa Kiafrika wana vested interest ya ku undermine habari ya mzungu kutokakatika mizungu.
Racial pride.
Umeiona hiyo link?
Unasema ilikuwa inaaminika Mungu haishi duniani katika jamii iliyoamini kwamba mpaka miti na wanyama ni miungu?
Ngoja niicheki hiyo link uliyoitoa.
Kuhusu wasomi wa Kiafrika ku undermine habari za mungu kuwa mzungu...hilo ni suala la kimtazamo tu.
Mzungu atakuwaje mungu wakati mzungu huyo huyo ndo katuletea ukristo unaohubiri habari za mungu tunayeambiwa yupo huko mbinguni?
Hao wazungu walilieneza hilo neno la mungu kwa kuzunguka huku na kule. Na huko kuzunguka kwao kueneza hizo imani zao ndo kukazaa hilo jina la mzungu.
Kwa nini watu wamwone mzungu kuwa ndiye mungu ilhali yeye mwenyewe [huyo mzungu] anahubiri habari za mungu aliyeko mbinguni?
It just doesn't make sense at all.
But let me check out the link you provided.
Hamna ulichokisema hapoHakuna ibilisi. Ila uchawi upo
Nimeokoka ndugu kwa hiyo ni ngumu sana kunipata.
Siamini uchawi. Lakini nawakilisha kama nilivyoambiwa.
Wanasema anajikuta kalazwa nje.
Habari ni kuwa mambo hayo yamewakuta marais wote waliokaa pale.
Nyerere, Mwinyi, Kikwete, Mkapa na sasa Magufuli.
Ndiyo maana Nyerere aliamua kukaa Msasani, Mwinyi akakaa Oysterbay, Mkapa akakaa Sea View. Wakivyokuwa marais.
Aliyepaweza ni Kikwete, ambaye alileta mafundi kutoka Bagamoyo.
Habari ni kwamba aliyemsaidia Magu ku deal na hayo mambo ni Bashite. Ambaye kampelekea mafundi wa Bagamoyo. Ambao kila mwezi ni lazima wa recharge battery.
Ndiyo maana Magu piga ua galagaza hamuachi Bashite.
Ndiyo maana ghafla bin vuu unasikia serikali inataka kuhamia Dodoma.
Watoto wa Kikwete na Mkapa washawahi kusema habari za Ikulu kuwa na mauzauza.
Lakini kama nilivyosema mwanzo. Siamini uchawi. Naeleza nilichoambiwa tu.
Sent from my Kimulimuli
Kujua ni nini na kuamini ni nini?Upo ila si lazima kuamini ktk uchawi,.Kujua na kuamini ni vitu Separate
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Kujua ni kuwa na taarifa juu ya kitu fulaniKujua ni nini na kuamini ni nini?
Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?Kujua ni kuwa na taarifa juu ya kitu fulani
Kuamini ni kuwa na yakini juu ya kitu fulani
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Kwanza kabisa Kujua kitu ktk usahihi wake haimaanishi umeamini,.Na waweza kuwa na taarifa ambazo si sahihi ukawa Bdo unajua ila upo ktk muelekeo wa kupotoka, Maana still unaweza ukawa unajua mungu yupo WHICH IS CORRECT still ukawa HUAMINI..Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?
Swali langu limeuliza.Kwanza kabisa Kujua kitu ktk usahihi wake haimaanishi umeamini,.Na waweza kuwa na taarifa ambazo si sahihi ukawa Bdo unajua ila upo ktk muelekeo wa kupotoka, Maana still unaweza ukawa unajua mungu yupo WHICH IS CORRECT still ukawa HUAMINI..
so shortly hpo utakua UMEJUA
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Jibu nimekupa hpoSwali langu limeuliza.
Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?
Hujajibu swali hili.Jibu nimekupa hpo
kuna jibu kwa mkato, kwa swali+Kwa maelezo
So maelezo yasome vizuri
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
UMEJUAHujajibu swali hili.
Ukiwa na taarifa isiyo sahihi kuhusu jambo, ukaikubali kama sahihi, umejua au ume amini hilo jambo?
Labda nikupe mfano kukurahisishia.
Ukiambiwa Lowassa kashinda uchaguzi wa urais wa Tanzania 2015, ukakubali hivyo, wakati kiukweli kashinda Magufuli, habari ya aliyeshinda uchaguzi wa Tanzania ni nani unaijua au unaamini tu?
Umejuaje kitu wakati umekubali sicho?UMEJUA
Kwanini?.
Kwa s'bu mtu huyu atakua na taarifa za suala hilo, ila kuwa na yakini juu ya Jambo hilo itabaki kuwa kitu cha Ghaibu kwakua hata aliyemwambia hatajua km mtu hyo Kaamini au Hajaamini ila atabaki Anajua Mtu huyo ana taarifa ya Jambo hilo
Na nitakushangaa sana km utasema KAAMINI kwakua huna kigezo cha msingi cha kuthibitisha Hilo juu ya kuamini kwake
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
kutokua na taarifa sahihi bdo haitoi maana ya KUJUA., Kwani ukisoma "tanganyika ilipata uhuru Mwaka 1967" utakua Umejua au umeamini?.Umejuaje kitu wakati umekubali sicho?
Umekubali pembetatu ya Euclid ina nyuzi 360.
Mwalimu kakupa mtihani anataka kujua kama unajua au hujui pembetatu ya Euclid ina nyuzi 180.
Anakuuliza pembetatu ya Euclid ina nyuzi ngapi?
Unamjibu 360. Wakati ina nyuzi 180.
Akupe pata kwamba umejua au akupe kosa kwamba hujui?