Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

ibie mimi nina sifa zote hizo kasoro umri wangu ni miaka48. Kinacho takikana Kwa Mwanamke kumtafuta Mwanamme wa kuolewa nawe Sio hayo yote bibie Huwezi kumpata mwanamme wa namna hiyo labda awe Mtu

Mzima kuanzia miaka 50 na kuendelea nijuavyo kwa Vijana asipo vuta Sigara basi atakuwa ni Mlevi wa Pombe au Mvuta unga au mwenda Disko kwa huo umri uliotaja bibie huwezi kupata vijana Mwenye tabia hizo kabisa. Kitu Muhimu kwa akina

Dada zangu ni kupata Mwanamme wa kuolewa nawe awe mwenye Tabia nzuri akisha kuwa na Tabia nzuri hayo yote uliyotaja yanafuatia tabia ya mtu ndio kitu muhimu kwa wana ndoa awe ni Mwanamke au ni Mwanamume akisha kuwa ana tabia nzuri hawezi tena kuwa ni

MvutaSsigara au Mlevi wa aina yoyte ile au jeuri hawezi kuwa nayo. Kitu muhimu ni tabia ya mtu ndio kitu muhimu sana ninakucha bibie hujambo lakini Madame B?
 
Hapo bibiye umenipiga bila kwani fikira zangu nilijua we ni motherfamily
 

Sijambo shikamoo.
Nashukuru kwa yote MziziMkavu,najua kumpata mwenye sifa zote ni ngumu lakini angalau awe anafikafika.
Na kila kitu na kiasi.

Nisalimie mwanao Dulla,mwambie nimem-miss.
 
Last edited by a moderator:
Mi si nilisema nakupenda ila sio ile ya watu kujua? Haya mi nina sifa zooote ulizozitaja na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…