Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Ohh kwanza kabisa samahani sana kwa kutumia neno jinsia ambayo si yako. Pia nimefurahi na kujifunza mambo mapya toka kwako. Ahsante Mr.
 
Kwann ume change jina lako shida nin Ndugu yangu?
Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
 
Amen Bujibuji
 
Kitu kingine hata pombe angalia sana unaokunywa nao,kama hawafikirii Mbele au umewapita sana kipato sahau kupata channel za maendeleo.
Unakaa na mijitu yenye wivu wivu na majungu akiondoka mtu wanaanza kumsengenya, tambua na wewe ukitoka wanafanya hivyohivyoo kimbia hiyo c&o mkuu. Birds of the same feather flock together.[emoji685][emoji683] Ur Mind!
 
Hata ukitoka kwenye familia tajiri inabidi utumie nguvu nyingi kutoka watu weusi ni wabinafsi sana -SI WOTE
Safi, mada nzuri.
Ndio maana hata ukitoka kwenye familia duni itabidi utumie nguvu kubwa sana kutoka. Unaweza shangaa kila ufanyalo haliendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…