Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Ahsante sana Miss weapon nitajiamini kwa kila nifanyacho..nitakua nina edit before posting (Print Preview )
And For another...
Mimi sio Miss ni Mr.Denvers before Da'Vinci.
Denvers ni jina la mdada huyo kwenye avatar (Carol Denvers) alilitumia kwenye muvi ya Captain Marvel.
Ohh kwanza kabisa samahani sana kwa kutumia neno jinsia ambayo si yako. Pia nimefurahi na kujifunza mambo mapya toka kwako. Ahsante Mr.
 
Kwann ume change jina lako shida nin Ndugu yangu?
Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
 
Nzuri Sana. Mimi nataka maisha yangu yajae furaha, huwa najipaka mafuta ya alizeti.[emoji258]na pia hua nakaa jirani na waridi ili ninukie [emoji257]
Watu wanaokuzunguka Wana mchango mkubwa Sana kwenye maisha yako, eidha ya mikosi au ya baraka.
Lakini katikati ya watu wenye mikosi, nuksi na mabalaa, unaweza kuamua usiwe sehemu ya maisha Yale.
Unaweza kutokea kwenye familia fukara Sana na ukaamua ule ufukara usikufuate wewe Wala wanao.
Jitenge na Kila laana ya hao watu.
Kuna watu wanajisifia magonjwa, huu ni ugonjwa wangu. Utaponaje iwapo umeshajimilikisha?
Mwanzo 12:1
BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonesha
Amen Bujibuji
 
Kitu kingine hata pombe angalia sana unaokunywa nao,kama hawafikirii Mbele au umewapita sana kipato sahau kupata channel za maendeleo.
Unakaa na mijitu yenye wivu wivu na majungu akiondoka mtu wanaanza kumsengenya, tambua na wewe ukitoka wanafanya hivyohivyoo kimbia hiyo c&o mkuu. Birds of the same feather flock together.[emoji685][emoji683] Ur Mind!
Very interesting...

Umenikumbusha kipindi fulani kuna mshikaji alikuja mtaa fulani niliokuwa naishi akitokea Arusha.Tukawa tunakaa nyumba moja.

Siku chache baadae nikamuona anavuta ganja.Nikamuuliza "naona umekuja na ganja ya arusha? ". Jamaa akakataa akajibu " hapana hii ni ya hapahapa".Nikashangaa sana nikamwambia "mimi nina miaka minne hapa sijui hata inapouzwa wewe kuja juzi tu tayari ushajua inapopatikana".

Siku zikapita na mim nikaja kuwa expert wa hizo mambo, nikawa nakula kaya kinoma.

Kilichotokea ikawa kila sehemu nitakayoenda, ndani ya siku chache lazima nipate rafiki mla kaya ananipeleka chimbo, mpaka nilipoacha.Ndio nikaamini utapata wa kufanana nae.
 
Hata ukitoka kwenye familia tajiri inabidi utumie nguvu nyingi kutoka watu weusi ni wabinafsi sana -SI WOTE
Safi, mada nzuri.
Ndio maana hata ukitoka kwenye familia duni itabidi utumie nguvu kubwa sana kutoka. Unaweza shangaa kila ufanyalo haliendi.
 
Back
Top Bottom