Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Paula Paul, mbona jina lako kama vile la kike? Nisamehe lakini
 
Ilinichukua masaa 3 ila nilikua na wazo muda mrefu kuandika kitu hiki.. Huku hakuna hilo tofauti na kum Follow mtu.
Ahsante kwa Appreciating.. inatia moyo sana.
Ahsante nitajithidi kuendelea kuandika vitu vizuri
 
Ilinichukua masaa 3 ila nilikua na wazo muda mrefu kuandika kitu hiki.. Huku hakuna hilo tofauti na kum Follow mtu.
Ahsante kwa Appreciating.. inatia moyo sana.
Ahsante nitajithidi kuendelea kuandika vitu vizuri
Jukwaa la jamii intelligence nilikuwa sijaligundua. Nitakuwa nalitembelea Mara kwa Mara ukipost mada zako nizione.
Naku follow pia.
 
Mkuu kwenye huhitimisha umesahau kutuambia tuka clear catches kule kwenye processor..😁😁 huwezi amni tokea juzi button ya ku clear cookes imejihold nahisi ikimaliza hapa nitakua mpya,masingle mama kwaherini,madada poa kwaherini,wanafunzi kwaherini😂.
Mimi nimekuelewa vizuri sana mkuu kuna somo uliwahi kufundisha humu nimefanya reference nimezidi kuelewa zaidi mkuu,
Asante sana. Nimeelewa pia kwanini walimu wana oana walimu kwa walimu,ma askari kwa ma askari, mafundi nguo kwa mafundi nguo..
Kimsingi nimepata mbinu za kutoka nnje ya box
 
Hahahaaa mkuu hongeraa sana mkuu..
somo gani hilo lingine mkuu
 
HV mkuu unaweza kunitumia hili bandiko lako kwa pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…