Mkuu kwenye huhitimisha umesahau kutuambia tuka clear catches kule kwenye processor..😁😁 huwezi amni tokea juzi button ya ku clear cookes imejihold nahisi ikimaliza hapa nitakua mpya,masingle mama kwaherini,madada poa kwaherini,wanafunzi kwaherini😂.
Mimi nimekuelewa vizuri sana mkuu kuna somo uliwahi kufundisha humu nimefanya reference nimezidi kuelewa zaidi mkuu,
Asante sana. Nimeelewa pia kwanini walimu wana oana walimu kwa walimu,ma askari kwa ma askari, mafundi nguo kwa mafundi nguo..
Kimsingi nimepata mbinu za kutoka nnje ya box