CPU caches hua haziondolewi... Cache is a prt of memory in CPUMkuu kwenye huhitimisha umesahau kutuambia tuka clear catches kule kwenye processor..ππ huwezi amni tokea juzi button ya ku clear cookes imejihold nahisi ikimaliza hapa nitakua mpya,masingle mama kwaherini,madada poa kwaherini,wanafunzi kwaheriniπ.
Mimi nimekuelewa vizuri sana mkuu kuna somo uliwahi kufundisha humu nimefanya reference nimezidi kuelewa zaidi mkuu,
Asante sana. Nimeelewa pia kwanini walimu wana oana walimu kwa walimu,ma askari kwa ma askari, mafundi nguo kwa mafundi nguo..
Kimsingi nimepata mbinu za kutoka nnje ya box
Wakati mwenzako@Nakwede humwambii kituAsante sana jamani [emoji847]
Nyie ndo mnatufanya tutambe sana huku mtaan ujuaji mwingi sana huku kitaa kumbe tumesoma topics zenu jfUyombagiki nyanda wane....
Nipo nipo tu mkuu
Kila ikitokea kubishana lazima waniite nielezee kwanza mimi na nikielezea mimi bas hata utoke mbingun hawata kuelewaUyombagiki nyanda wane....
Nipo nipo tu mkuu
Hahahhaa acha zako bwana I'm not that worthy..Saiz huku kitaa hadi watu wazima wana nikubali sanaKila ikitokea kubishana lazima waniite nielezee kwanza mimi na nikielezea mimi bas hata utoke mbingun hawata kuelewa
Melkiorik uko powa kabisa mzee baba?Wewe je??
Mkuu kwema habari ya wewe???Melkiorik uko powa kabisa mzee baba?
Uzima upo Mkuu, Mungu ni mwema sana.Mkuu kwema habari ya wewe???