Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Mkuu kwenye huhitimisha umesahau kutuambia tuka clear catches kule kwenye processor..😁😁 huwezi amni tokea juzi button ya ku clear cookes imejihold nahisi ikimaliza hapa nitakua mpya,masingle mama kwaherini,madada poa kwaherini,wanafunzi kwaherini😂.
Mimi nimekuelewa vizuri sana mkuu kuna somo uliwahi kufundisha humu nimefanya reference nimezidi kuelewa zaidi mkuu,
Asante sana. Nimeelewa pia kwanini walimu wana oana walimu kwa walimu,ma askari kwa ma askari, mafundi nguo kwa mafundi nguo..
Kimsingi nimepata mbinu za kutoka nnje ya box
CPU caches hua haziondolewi... Cache is a prt of memory in CPU
 
Saiz huku kitaa hadi watu wazima wana nikubali sanaKila ikitokea kubishana lazima waniite nielezee kwanza mimi na nikielezea mimi bas hata utoke mbingun hawata kuelewa
Hahahhaa acha zako bwana I'm not that worthy..
Endelea kujifunza mengi humu JF toka kwa wadau. Mimi mwenyewe hua nakopi hadi comments za watu kama nabishana
 
Back
Top Bottom