Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?


huu uzi ni mzuri na muelezaji ameelezea vizuri kabisa japo sina elimu kidogo na mambo ya kiroho na ya kidunia nilifikiri kama ungetoa maelezo mengi zaidi kuhusu kujiweka sawa na kuwa mstari ulionyooka. Thanks
 

😂😂😂 eti una "circumferential thinking"
 

Uzi wako una mantiki ila ni wachache sana watakuelewa unachomaanisha.

Tusidanganyane kama we elimu yako ni ya kuunga unga huwezi ukaelewa huu uzi unakoanzia wala unakoishia.

Mimi binafsi nimekulewa sana kwenye uhusiano huo uliousema ila natofautiana na wewe kwenye sehemu moja tu ya jinsi ya kuondokana na vitu vibaya ama mikosi.

Naogelea maji ya bahari siyo chini ya mara 4 kwa wiki ila kama ni mikosi bado inanisonga, so hapa nahisi kuhusu maji ya chumvi ni imani flani ambayo mimi naweza kuiita ni potofu na haina cha kukusaidia.

Kingine umesema "usiruhusu nature ikuchagulie vitu usivyovipenda" umesahau hata wewe kuna mahali umesema "nature always win" kwa hiyo upabambane vipi huwezi ukaishinda na huo ndiyo ukweli ukubali ukatae.

Kuna mwafalsafa mmoja wa India huwa napenda kumsikiliza sana ingawa jina simkumbuki vizuri ila ni kama (Saad Guru) kama sijakosea anasema hivi "What is possible and what is not possible is not your bussiness, nature will determine this"

So huwezi kushindana na nature hata ufanyeje lazima ikushinde tu.
 
Kweli kabisa nature always win. Lakini kama nature inafanya kazi kupitia roho yako vipi ukiiweza kuidhibiti roho yako si utaweza kudhibiti nature (Not Laws of nature)
 
Roho ni ominous (kama sijakosea ) yaani ndo hali inayoweza kuwapo kitu kila mahali. yaani haina mwili, hivyo unaweza kuwa kila sehemu, hivyo yenyewe ni rahisi kuwasiliana na nature na pia ubongo wako
Kweli kabisa kupitia hili ndipo pale unajikuta umefanya spiritual time traveling... Unakua sehemu umefika kwa mra ya kwanza lakini kila kinachotokea unaona kua umeshawahi kukiona. Kumbe roho yako ilifika mapema sana kabla yako. Ndio maana Time traveling bado ni kitendawili
 
Reorient the spirit to better heal the body
What if I told you that your body can be convinced by Soul that it can achieve difficult goals
 
Kweli kabisa nature always win. Lakini kama nature inafanya kazi kupitia roho yako vipi ukiiweza kuidhibiti roho yako si utaweza kudhibiti nature (Not Laws of nature)

Duuh....siwezi kuthibitisha lakini ni ngumu sana kui-control nature bali yenyewe ndiyo inaku-control
 
Duuh....siwezi kuthibitisha lakini ni ngumu sana kui-control nature bali yenyewe ndiyo inaku-control
So kati ya nature na Mwanadamu nani yuko juu

Hebu soma comment hii... What do you argue
Reorient the spirit to better heal the body
What if I told you that your body can be convinced by Soul that it can achieve difficult goals
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…