ndiyoNimeanza kukuelewa, inamaana kuna uhusiano wowote wa issue hii na yale mambo ya meditation? Kwamba ukikaa kimya kwa muda mrefu unawasili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyoNimeanza kukuelewa, inamaana kuna uhusiano wowote wa issue hii na yale mambo ya meditation? Kwamba ukikaa kimya kwa muda mrefu unawasili
Na je, kwa wale wanaotumia ku-meditate kwa njia ya sauti? Yaani benaural beats, maana kunakuwa hakuna ukimya tena anawasiliana vp na roho yake?ndiyo
SALUTE
Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me?
Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yaani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga nk.
Kwa upande wa wanaume nadhani hii inawatokea sana utasikia kabisa mtu anasema "Aisee mimi nina bahati na wanawake weupe/walimu/manesi/wanawake washamba nk nk. Yote haya ni maisha yetu ya kila siku ya sisi wanadamu, wengi hatuelewi kwanini hii inatokea hivi lakini ni vitu ambavyo vinahusiana na mambo ya kiroha na Kiasili (nature).
Lakini hadi mtu yanamtokea mambo haya bila yeye mwenyewe kujua hua nini kinafanyika? Hapa nitaenda kuelezea zaidi jinsi mambo mabaya yanavyokua yanaambatana nasi pasipo sie kupenda. Ili nieleweke vizuri nitatumia terminologies za kwenye mambo ya teknoloji.
Kwenye Computer Processors kuna kitu kinaitwa Caches, hii ni sehemu ambapo ukifinya kitu fulani kwenye computer basi kile kitu kinahifadhiwa huko ndani ili ukitaka kukitumia tena basi kinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi. Pia kuna kitu kingine kinaitwa HTTP Cookie hizi zinafahamika pia kama Web cookie, browser cookie, internet cookie. Hizi ni data ndogondogo ambazo huchukuliwa kwenye web, internet, browser n.k na kuhifadhiwa kwenye Computer wakati mtumiaji yuko anaperuzi. Kazi yake ni kurekodi mambo yote ambayo mtumiaji (user) anayafanya kwenye internet mfano. Zinarekodi Password, page ipi umetembelea, Majina, nk. Hayo yote yanakusaidia wewe mtumiaji wa internet utakapotaka kuperuzi mitandaoni basi iwe rahisi kutumia.
Kwa upande wa Google huko wao wana project yao wanaita Hummingbird, hii ni alogarithm ambayo inafanya kazi ya kumwezesha mtumiaji wa huduma za google (Hasa YouTube na Google as Search engine) kupata huduma hizo kwa urahisi na kwa haraka...wanasema Google inakujua kuliko mama yako mzazi, Ni kweli.
Unapotafuta kitu Google chochote Hummingbird inarekodi kila kitu baadae ukitaka kuitumia tena inakuletea vitu kama vile ulivyotafuta mwanzo. Ndio maana ukitafuta kitu fulani YouTube ukaangalia ukamaliza labda ukatoka huko baadae ukirudi tena youtube utakuta video mbalimbali zinazoshabihiana na zile ulizoangalia mwanzo.
Yes kwakua Google wanakua washajua ni vitu gani unapendelea ili usisumbuke kuandika wanakuletea hapo kwenye homepage as suggestion posts.
Sasa turudi kwenye mada kuu, mada yetu inahusu kwanini mambo fulani (upande wa ubaya) yanaweza kua yanakufata wewe tu!. Kwenye moja ya post zangu zilizopita nilieleza kua Roho ya binaadamu ndio inabeba taarifa ya kila kitu kukuhusu wewe, so nikachukulia kwamba Roho ya binaadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer halafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer. Unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!
Leo twende tofati kidogo, tuchukulie Roho ni HummingBird au Cookie au Cache japo mimi nitapendelea tuichukulie kama HummingBird. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression. Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi zuri. Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.
Sasa kwenye maisha halisi ipo hivi, unapofanya kitu fulani roho(subconcious mind) yako inarekodi. Labda siku moja uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo. Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jela basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.
Kwa hiyo sasa unapofanya kitu fulani roho yako ikakihifadhi, baadae Roho itawasiliana na Nature kwamba unapenda vitu fulani hivyo nature itakua inakuletea vitu hivyo mara kwa mara. Hiki kitendo nature kuwasiliana na roho kisha kukuletea yale usiyoyapenda ndio tunaita MKOSI.
Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewe kwa kua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.
Je, tufanyaje ili kuepuka mambo mabaya yanayotuandama?
Kwenye Computer ili kuziepuka cookies baada ya kutumaliza kuperuza mitandaoni inatakiwa uende upande wa setting kisha chagua Clear Cookies ili kuondoa kumbukumbu zote zote za kuperuzi siku hiyo. Kwa upande wa Google kubaki na taarifa zako. Huwa tunashauri kutumia Search Engine ya Duck Duck Go, Hii web ni nzuri zaidi maana hua ina clear taarifa zako zote baada ya kumaliza kuitumia..ina mengi mazuri ya kiusalama hasa kwenye taarifa za utumiaji wa kila siku (Browsing History). Jamani siipigii debe hii web, ni kuwaweka sawa tu na mada yetu hii. Sasa kuclear cookies au kuondoa mikosi kwenye maisha kuna mambo kadha ambayo tutayafanya.
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akitoka jela au mahabusu (kituoni) zile nguo alizoenda nazo huwa zinatupwa, pia itabidi aoge kabisa kabla hajaingia ndani, wengine huenda mbali zaidi kwa kuogeshwa dawa za mitishamba ili kuondoa mikosi. Hapo sasa ndio kitendo cha kuclearcookies. Wanafuta taarifa zote zilizomo kwenye roho zihusuzo jela. ni mfano tu huu ila hizi hapa chini ni njia zangu amabazo mimi kwa ufahamu wangu nadhani tukizitumia tutaweza kuondoa mshikamano wa mambo mabaya kwenye maisha yetu (Mikosi)
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. Je unapenda Kuwa mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.
- Kujua Preferences zako
Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache Nature ikuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi. Hivyo basi tukisha tambua yale tunayoyapenda na kuayafuata tutaifanya nature ituletee yale pia mabayo tunayapenda.Hapo tutakua tumekwepa kufuatwa na mabaya.
Jamani maishani huwezi kua smart muda wote Nature always win!!!, ipo siku utanasa tu. Sasa hapa labda tuseme umeshavuruga mambo maisha yamejaa mikosi na mabaya yanakuandama. Hapa sasa tutaangalia jinsi ya kuondoa hayo mambo.
- Kujiondoa kwenye mikosi. (Kuclear Cookies maishani)
1. Tutumie Chumvi na maji, Usishangae sio uganga wala uchawi. Chumvi ni dawa nzuri sana kwa binaadamu nadhani member wengi wameielezea sana humu, sina haja ya kueleza zaidi. Cha msingi chukua chumvi ile ghafi ambayo haijapita kiwandani changanya na maji kisha nuia unavyotaka kisha oga. Hata nabii Ezra aliambiwa na Mungu achanganye maji naNchumvi kisha kuwapatia wana wa Israel wajitakase, ndio maana kwetu RC kuna maji ya baraka yenye Chumvi.
Kama utakua karibu na bahari itapendeza kabisa wewe ni kwenda na kujitupa tu majini maana huko chumvi kibao
2. Mshirikishe Mungu unayemuamini hata kama ni mzimu, hapo inabidi uombe toba kabisa, mweleze mapungufu yako na mahitaji yako kua unataka kuwa mtu mpya, mambo mabaya hutaki kushirikiana nayo. Piga sala sana na ibada kadri uwezavyo. Almighty atakuelewa na kukusafisha uwe mpya.
Maisha bana is all about determing yourself akina mshana jr na wenzake, manabii na mashehe Sharifu wanatuibia tu kwa kuwa wanajua elimu tunayo kidogo, hatujitambui. Tujifunzeni kujitambua hatutasubiria kuombewa na nabii. Wao wanacheza na Psychology ambapo huko watu wengi ni watupu sa tunapigwa tuuu!!!
NOTE. Ahsante Mungu kwa yote uliyonijalia hasi umeniwezesha kuandika mada hii.
End....
Kama umepende Like, Comment then share kwa wenzio.
~Da'Vinci
el maestro.
Nitakualika kwenye mada fulani nikiikamilisha.. hope you're good in spiritual mattersNa je, kwa wale wanaotumia ku-meditate kwa njia ya sauti? Yaani benaural beats, maana kunakuwa hakuna ukimya tena anawasiliana vp na roho yake?
Samahani kwa Swali la nyongeza
Nitashukuru mkuu,, usinisahau ukiikamilisha.Nitakualika kwenye mada fulani nikiikamilisha.. hope you're good in spiritual matters
Umetumia nguvu kubwa sana kuelezea kitu ambacho hakieleweki,sio kwamba hamna point, la hasha. Point zipo nyingi tuu lkn umeongelea vitu vingi kwa mpigo ambavyo havina relation.
Ungekuwa kwa daktari, angekwambia una circumferential thinking.
Unforgetable

utani tag mkuuNitakualika kwenye mada fulani nikiikamilisha.. hope you're good in spiritual matters
Kweli kabisa nature always win. Lakini kama nature inafanya kazi kupitia roho yako vipi ukiiweza kuidhibiti roho yako si utaweza kudhibiti nature (Not Laws of nature)Uzi wako una mantiki ila ni wachache sana watakuelewa unachomaanisha.
Tusidanganyane kama we elimu yako ni ya kuunga unga huwezi ukaelewa huu uzi unakoanzia wala unakoishia.
Mimi binafsi nimekulewa sana kwenye uhusiano huo uliousema ila natofautiana na wewe kwenye sehemu moja tu ya jinsi ya kuondokana na vitu vibaya ama mikosi.
Naogelea maji ya bahari siyo chini ya mara 4 kwa wiki ila kama ni mikosi bado inanisonga, so hapa nahisi kuhusu maji ya chumvi ni imani flani ambayo mimi naweza kuiita ni potofu na haina cha kukusaidia.
Kingine umesema "usiruhusu nature ikuchagulie vitu usivyovipenda" umesahau hata wewe kuna mahali umesema "nature always win" kwa hiyo upabambane vipi huwezi ukaishinda na huo ndiyo ukweli ukubali ukatae.
Kuna mwafalsafa mmoja wa India huwa napenda kumsikiliza sana ingawa jina simkumbuki vizuri ila ni kama (Saad Guru) kama sijakosea anasema hivi "What is possible and what is not possible is not your bussiness, nature will determine this"
So huwezi kushindana na nature hata ufanyeje lazima ikushinde tu.
Kweli kabisa kupitia hili ndipo pale unajikuta umefanya spiritual time traveling... Unakua sehemu umefika kwa mra ya kwanza lakini kila kinachotokea unaona kua umeshawahi kukiona. Kumbe roho yako ilifika mapema sana kabla yako. Ndio maana Time traveling bado ni kitendawiliRoho ni ominous (kama sijakosea ) yaani ndo hali inayoweza kuwapo kitu kila mahali. yaani haina mwili, hivyo unaweza kuwa kila sehemu, hivyo yenyewe ni rahisi kuwasiliana na nature na pia ubongo wako
Kweli kabisa nature always win. Lakini kama nature inafanya kazi kupitia roho yako vipi ukiiweza kuidhibiti roho yako si utaweza kudhibiti nature (Not Laws of nature)
So kati ya nature na Mwanadamu nani yuko juuDuuh....siwezi kuthibitisha lakini ni ngumu sana kui-control nature bali yenyewe ndiyo inaku-control
Reorient the spirit to better heal the body
What if I told you that your body can be convinced by Soul that it can achieve difficult goals
So kati ya nature na Mwanadamu nani yuko juu
Always viumbe hai wote including human being wanaishi kwa kuifata nature so always nature lazima tu itakuwa juu...
Kwa uwezo mdogo naona binadamu kui-control nature ni kitu kisichowezekana labda spiritually ila physically it is impossible.
So kati ya nature na Mwanadamu nani yuko juu
Hebu soma comment hii... What do you argue
So kama huwezi kutembea unaweza kuuconvice mwili ua unaweza kutembea
Samahani mkuu Da'Vinci hivi mtu aliyeamka kiroho (spiritual awakening) na mchawi wakishindana ni nani atakuwa zaidi ya mwenzie?So kama huwezi kutembea unaweza kuuconvice mwili ua unaweza kutembea