Nitakua nakopi kutoka kwenye nyuzi zagu huko nawawekea hapa kama hivi.Dah haya madini na maarifa kama hayo uliyokipi kutoka katika jukwaa la dini, nifanyaje ili nami niyaoate? Ashante sana mkuu.
Hebu soma mada hiiAbsolutely,
Go review some Biography of all Great Discoverers and inventors like Alexander Graham Bell, Thomas Edison, Henry Ford,Steve Jobs , Sir Isack Newton, Albert Einstein.
You may start with the Book by Napoleon Hill
“Think and Grow Rich”
and look to see How the Great men in History have Understood and lived in harmony with the Universal Laws.
My friend this isn’t Philosophy at all,
It’s Scientific fact, unless you don’t even believe in the “ Law of Gravity” it’s a universal law either like The Law of Attraction”.
Hebu soma mada hii
[emoji23][emoji23][emoji23]Fundi bishoo huu uzi ingekua ni Comment kwenye uzi wa "Ulishawahi kula tunda kimasihara" Ungesoma yote.
Tunashida vijana
Kuna hatua mbili amabazo zitatuwezesha kuipata Huruma , Kwanza kabisa tunatakiwa tuwapende viumbe hai wote pia inatakiwa tuwasaidie katika mateso na matatizo yao. Kama hatutampenda mtu Fulani hatuwezi kumuonea huruma hata kama yupo katika maumivu makubwa, hii ndio sababu inayofanya kuwaonea huruma rafiki na ndugu zetu pekee lakini sio kwa wale tusio wapenda. Kuwajali wengine ndio msingii mkuu a kukuza huruma, hivyo basi inatakiwa tutengeneze akili zetuziweze kuwaone huruma na kuwajali wengine walioko kwenye matatizo.Kwa nini uzae watoto ambao huwezi kuwahudumia??
Quinque viae; Hizi ni shahuda zinazoonyesha uwepo wa Mungu duniani hivyo tutazitumia kuangalia kwanini tumtegemee Mungu kutimiza matakwa yetu chanya.Makala yako imeeleweka vzuri Sana leo Tena nimerudia kuisoma nimejifunza Sana Asante
Wow umeongea vzuri Sana [emoji122]Quinque viae; Hizi ni shahuda zinazoonyesha uwepo wa Mungu duniani hivyo tutazitumia kuangalia kwanini tumtegemee Mungu kutimiza matakwa yetu chanya.
The First Cause and The First Mover
Kwanza inabidi ukiri kwamba kila kitu kilichoko duniani kimeumbwa nae na kila kinachotokea kinatokea kwa matakwa yake, hivyo unaweza kutimiza lolote unalotaka maana yeye ndio muumba wa vyote.Maskini na tajiri, mrefu na mfupi, mweusi na mweupe wote wameumbwa nae na kila binaadamu anatakiwa kujali hali ya mwenzake. Ukimuomba takupatia, ukitoa atakubariki...Ni wewe kukiri kua huwezi bila ya msaadawake. "kwa maana Bwana amenitia mafuta na neema zake zinamiminika juu yangu"
Tambua kwamba ulitoka kwa Mungu, upo hapa kwa ajili ya Mungu na utarudi kwa Mungu hivyo kusudi lako linatoka kwa Mungu na kila mtu kaumbwa na kusudi lake...Muombe Mungu wako akuonyeshe kusudi lako kisha simama katika kusudi lako na kulitekeleza... Binaadamu mkamilifu ni asikiae shida na mateso ya wanadamu wenzake.Wanasema maneno hayavunji mfupa ila yanweza kuvunja au kujenga roho ya mtu hivyo hata kwa maneno yako yenye Uungu na heri ndani yake unaweza kuacha alama na kua mfano wa kuigwa kwenye jamii.
sio lazima utoe mamilioniau misaada mikubwa lakini maneno yako yenye faraja yanweza kuishi mioyoni mwa watu daima. Kuna watu wengi hawana furaha wala faraja wanatamani hata mtu wa kwenda kuwafariji kwa maneno tu hivyo unaweza kuanza kwa kufanya hivyo.PEnda kua malaika wa amani na upendo,mpatanishi na muunganishi baina ya watu na watu mapaka wanaokuzunguka wakuone kua kweli U mMungu pamaja nasi au Heaven Sent.