Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Dah haya madini na maarifa kama hayo uliyokipi kutoka katika jukwaa la dini, nifanyaje ili nami niyaoate? Ashante sana mkuu.
Nitakua nakopi kutoka kwenye nyuzi zagu huko nawawekea hapa kama hivi.
Asking questions is the best you can do..And I will respond toward them.
Wasiliana na moderators wanaweza kukuunga
 
Absolutely,
Go review some Biography of all Great Discoverers and inventors like Alexander Graham Bell, Thomas Edison, Henry Ford,Steve Jobs , Sir Isack Newton, Albert Einstein.

You may start with the Book by Napoleon Hill

“Think and Grow Rich”
and look to see How the Great men in History have Understood and lived in harmony with the Universal Laws.

My friend this isn’t Philosophy at all,
It’s Scientific fact, unless you don’t even believe in the “ Law of Gravity” it’s a universal law either like The Law of Attraction”.
Hebu soma mada hii
 
Kwema? Nimejaribu kupakua hiki kitabu nimeshindwa. Msaada wako ndugu
Kitabu gani mkuu?? Maana sijapakia kitabu chochote...Je ulimaanisha kitabu kilichotokana na mada hii???
 
Rest In Eternal life Our beloved president 💔
May Holy Mary mother of Mercy embrace you
 
Death is matter of blinking, may Almighty God protect me and give his strength 😢
 
Your mother's dead. Before long, I'll be dead. And you, and your brother, and your sister and all of her children. All of us dead, all of us rotting in the ground. It's the family name that lives on. It's all that lives on. Not your personal glory, not your honor, but family.
 
Makala yako imeeleweka vzuri Sana leo Tena nimerudia kuisoma nimejifunza Sana Asante
 
Watu wengi hua tunawaonea huruma watu amabao tunawafahamu tu lakini tunasahau kuwaonea huruma hata wale ambao hatuwafahamu wala hawapo kwenye mazingira yetu lakini baya zaidi hua tunawaonea huruma wale watu ambao wapo kwenye maumivu makali mfano magonjwa, Umaskini, nk tunasahau kuwaonea huruma pia hata wale ambao wana maisha mazuri. Inatakiwa tuwe na upendo kama wa mama zetu, mama zetuu huwaonea huruma watoto wote bila kujali mtoto Fulani ana afya na hali nzuri na huyu ana afya na hali mbya.
 
Kwa nini uzae watoto ambao huwezi kuwahudumia??
Kuna hatua mbili amabazo zitatuwezesha kuipata Huruma , Kwanza kabisa tunatakiwa tuwapende viumbe hai wote pia inatakiwa tuwasaidie katika mateso na matatizo yao. Kama hatutampenda mtu Fulani hatuwezi kumuonea huruma hata kama yupo katika maumivu makubwa, hii ndio sababu inayofanya kuwaonea huruma rafiki na ndugu zetu pekee lakini sio kwa wale tusio wapenda. Kuwajali wengine ndio msingii mkuu a kukuza huruma, hivyo basi inatakiwa tutengeneze akili zetuziweze kuwaone huruma na kuwajali wengine walioko kwenye matatizo.

Kwa kuanza, tunaweza kuwafikiria wale wote ambao wapo katika maumivu na mateso makubwa muda huu unaposoma andiko hilo, kuna watu wengi wapo katika mateso makubwa ya kimwili na kiakili mfano UKIMWI, cancer, nk. Waza ni watu wangapi wamepoteza wanao wapendwa, ndugu,jamaa kwa ugonjwa wa ukimwi, unamuona mwanao anadhoofu na kudhoofu kwa gonjwa la ukimwi na ukijua kabisa halina dawa…. Kila siku maelfu ya watu wanafariki kwa ajali au magonjwa bila wao kupenda wanatenganishwa milele na ndugu zao.. hebu fikiri bibi kizee anampoteza muwe mpenzi aliyeishi nae miaka mingi anabaki pekee yake katika ukiwa na upweke.
Watu wanakufa kwa njaa, mafuriko, mauaji,vita, matetemeko ya ardhi wengine wanabaki na ukame na njaa, umaskini bila makazi. Hebu fikiri hivi utajisikiaje kama haya yakatokea kwetu?

Je mkuu Yoda wewe huangalia vigezo gani ili kumsaidia mtu..?
Yoda
 
Makala yako imeeleweka vzuri Sana leo Tena nimerudia kuisoma nimejifunza Sana Asante
Quinque viae; Hizi ni shahuda zinazoonyesha uwepo wa Mungu duniani hivyo tutazitumia kuangalia kwanini tumtegemee Mungu kutimiza matakwa yetu chanya.

The First Cause and The First Mover
Kwanza inabidi ukiri kwamba kila kitu kilichoko duniani kimeumbwa nae na kila kinachotokea kinatokea kwa matakwa yake, hivyo unaweza kutimiza lolote unalotaka maana yeye ndio muumba wa vyote.Maskini na tajiri, mrefu na mfupi, mweusi na mweupe wote wameumbwa nae na kila binaadamu anatakiwa kujali hali ya mwenzake. Ukimuomba takupatia, ukitoa atakubariki...Ni wewe kukiri kua huwezi bila ya msaadawake. "kwa maana Bwana amenitia mafuta na neema zake zinamiminika juu yangu"

Tambua kwamba ulitoka kwa Mungu, upo hapa kwa ajili ya Mungu na utarudi kwa Mungu hivyo kusudi lako linatoka kwa Mungu na kila mtu kaumbwa na kusudi lake...Muombe Mungu wako akuonyeshe kusudi lako kisha simama katika kusudi lako na kulitekeleza... Binaadamu mkamilifu ni asikiae shida na mateso ya wanadamu wenzake.Wanasema maneno hayavunji mfupa ila yanweza kuvunja au kujenga roho ya mtu hivyo hata kwa maneno yako yenye Uungu na heri ndani yake unaweza kuacha alama na kua mfano wa kuigwa kwenye jamii.

sio lazima utoe mamilioniau misaada mikubwa lakini maneno yako yenye faraja yanweza kuishi mioyoni mwa watu daima. Kuna watu wengi hawana furaha wala faraja wanatamani hata mtu wa kwenda kuwafariji kwa maneno tu hivyo unaweza kuanza kwa kufanya hivyo.PEnda kua malaika wa amani na upendo,mpatanishi na muunganishi baina ya watu na watu mapaka wanaokuzunguka wakuone kua kweli U mMungu pamaja nasi au Heaven Sent.
 
Wow umeongea vzuri Sana [emoji122]
 
Back
Top Bottom