Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ahsante sana mkuu. Nafurahi kuona watu wengine wenye uelewa wa mambo haya wanachangia mada.. yes ni kweli tuna nguvu kubwa ndani yetu coz tuna uungu.
Kila kitu kinaanzia kwenye subconcious mind basi tu hatujitambui. Laiti tungejua wala dunia tusingeishi kama mashetani
Nimeitikia wito. Kabla sijachangia kikichoandikwa, ila kwa minajili ya kichwa cha uzi,siamini katika MIKOSI.
Karibu mkuu. Mchango wako muhimuNimeitikia wito.
Kabla sijachangia kikichoandikwa. Ila kwa minajili ya kichwa cha uzi,siamini katika MIKOSI.
Wenye kufikiria ya kuwa katika maisha kuna mikosi ni wachachefu wa elimu na wenye chembe za KISHIRIKINA.
Nakuja kuchangia yaliyoandikwa kwenye uzi sasa.
Hiyo kitu ya thinking ndio inakuaje mtu akiwa nayo?Umetumia nguvu kubwa sana kuelezea kitu ambacho hakieleweki,sio kwamba hamna point, la hasha. Point zipo nyingi tuu lkn umeongelea vitu vingi kwa mpigo ambavyo havina relation.
Ungekuwa kwa daktari, angekwambia una circumferential thinking.
Unforgetable
Mbona mimi nimesoma mara moja na nimeelewa. Nyie wengine mnakwamba wapi ?Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
For sure chumvi ni tiba. ya mengi mkuuNimekuelewa sana baharia ila dah hiyo elimu ya chumvi nilikuwa sijui chochote kuhusu mm najua ukitia kwenye msosi ndio imeisha hiyo kume matumizi yapo more advanced.