Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Umenifurahisha

Ulivyoanza kujitetea

Hivi kwa nini da vinci hujiamini.?

I have been profiling you... And i have seen this several times

Why mani?
Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
 
Asante
Umenisaidia jambo,nimepata msukumo kutoka hatua moja kwnda ingine
Asante
 
Kuna shida ama katabia kabovu nilikafanya mahali bila kutaraji kanaanza kujirudia na amini usiamini tena kirahisi sana,
Moyo wangu unataka kukaacha na kukakimbia lkn najikuta tu inatokea tena napata urahisi wa kutenda tena,
Kupitia mada hii nimejua sijaclear coockies kwa hiyo mambo yanakuja tu,
Nina maji ya baraka home,
Acha nikafanye toba ya nia nijinyunyize na maji ya baraka,
Asante mkuu
Ahsante pia mkuu. Ubarikiwe nawe katika jambo hilo
 
That's Good mkuu! Nuwia pia kwa kumuomba Mungu akate mshikamano na jambo hilo..Kila kitu kitakua sawa.
 
Umenena kweli mkuu, huwa sometimes kuna watu huwa wananifuata kuomba ushauri wa masuala fulani katika maisha but katika mahojiano unakuja kugundua unamfanyia counseling mtu ambaye umri wake ni mara mbili au tatu ya umri wangu, but huwa naelewa utofauti uliopo ni uelewa niliyonao juu ya yale yanayowasibu, kwa bahati mbaya au nzuri yote huwa napata kwa kusoma vitabu, practice na kusikliza audios tofautitofauti bila kusahau na kushiriki mazungumzo na watu bila kuangalia umri wala cheo.

Kiujumla katika maisha kuna vitu ukivijua huwezi jisemea kuwa yanyikutokea ni bahati, coz utakuwa tayari hushayona katika ulimwengu mwingine ambao wachache sana ndo wenye uelewa nao, mfano Mshana Jr, huyu jamaa wengi huwa wanadai mchawi kutokana na mada zake nyingi but ukweli ni kwamba ukifuatilia hayo mambo kwa undani utagundua hata mchawi hawezi kutisha mkuu, wengi katika maisha yangu nimekutana nao na huwa wengine huwa wanatest zali ila mambo yakagoma.

Wazee tafuta namna ya kuelewa strength of your spiritual power utautazamia ulimwengu tofauti sana na jinsi wengi wamavyoutazamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…