Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

[emoji23][emoji23] then, mwanamke akifuatwa na Mwanaume mweusi na mfupi ni tukio baya? [emoji3][emoji3]
Itategemeana na yeye mwenyewe je anapenda aina hiyo ya mwanaume?
 
Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewekwakua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.
Uko sahihi kabisa mwana nzengo.

Sometimes we must have clarity to understand what we are doing or what we have done so as we can get completely away.

Kuna kitabu kimoja niliwahi kukisoma kinaitwa "Charm to harm" kinaeleza haya mwanamke anakuwa na mahusiano na mwanaume mkorofi anayempiga sana ila wala hafikilii kuachana naye.
Siku akichoka kabisa na kufanya maamuzi magumu ya kuachana naye na kupata mwingine mpole na mstaarabu hawatadumu atafanya tu visa au hatofurahia yale mahusiano na kurudi kulekule alikotoka au atapata mwingine mwenye tabia alizozikimbia.

Nimelielewa sana hili neno lako "NATURE ALWAYS WIN"

Knowledge is our power!
 
Natamani pangekuwa na awards tofauti na likes ambazo mtu akiandika kitu kama hiki ,Mimi msomaji naweza kum award. Mitandao mingine wanayo mfano , gold, silver nk. Ambazo zinakuwa zinatokana na coin ambazo mtu anazipata anapokuwa anatumia huo mtandao. Pia zinauzwa kama hauna coin unaweza kulipia award yako halafu ukaitunza kwenye thread ya maana, na yenye akili kama hii. Hiyo inakuwa inatoa motisha na kutofautisha hii thread na threads nyingine.
Huu Uzi ningeupa tuzo ya Silver na Gold kwa pamoja maana naona kutoa likes sijautendea haki huu Uzi.
Again hili andiko naweza kusema kuliandaa ilikuchukua siku nzima na inawezekana hata wiki. I appreciate you.
 
Back
Top Bottom