The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Ur welcome Denvers nimependa mada yako,hongera!The Happiness thanks for the love reaction
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ur welcome Denvers nimependa mada yako,hongera!The Happiness thanks for the love reaction
Umeeleweka vizuri sanaGuys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
I got you well. Very wellGuys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
[emoji23][emoji23] then, mwanamke akifuatwa na Mwanaume mweusi na mfupi ni tukio baya? [emoji3][emoji3]Thanks very much for getting me Well..
Cheers
Anasema, ili uache ubishoo, kaoge maji ya bahari. Hivyo tuDaaaaah sijaelewa nmesoma mara 4 lkn nmetoka kapa
Gazeti refu sana
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
Uko sahihi kabisa mwana nzengo.Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewekwakua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.
Natamani pangekuwa na awards tofauti na likes ambazo mtu akiandika kitu kama hiki ,Mimi msomaji naweza kum award. Mitandao mingine wanayo mfano , gold, silver nk. Ambazo zinakuwa zinatokana na coin ambazo mtu anazipata anapokuwa anatumia huo mtandao. Pia zinauzwa kama hauna coin unaweza kulipia award yako halafu ukaitunza kwenye thread ya maana, na yenye akili kama hii. Hiyo inakuwa inatoa motisha na kutofautisha hii thread na threads nyingine.