Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Nakupinga sana kwa jambo moja tu, hapo ulipoagiza watu wanuie kwa kutumia chumvi na kuogea ili kuondoa nuksi. Kwa kuwa wewe ni mkristo ngoja nikuthibitishie nakupinga kwa kutumia maandiko katika Biblia.

Kwa sababu nyakati hizi zimebadilika, na sheria ya maongozi ya Mungu yamebadilika. How?

Tangu kuwepo kwa mwanadamu katika uso wa dunia mpaka sasa, Mungu ameiongoza dunia kwa nyakati tatu tofauti.
1. Kaiongoza Yeye mwenyewe kipindi cha Agano la kale kwa Torati na sheria.
2. Kaiongoza kupitia Yesu Kristo kwa miaka 33 Yesu alipokuwa duniani.
3. Anaiongoza kupitia Roho Mtakatifu hata sasa.

Kwanini nakupinga?

Nyakati za Yesu na Roho Mtakatifu tunaendeshwa na sheria ngumu kuliko ya Musa, nyakati za Musa, ukizini ukikamatwa ndipo unahesabiwa dhambi, usipokamatwa huna dhambi. Nyakati hizi ukimtizama tu mwanamke au mwanaume kwa kumtamani tu, umekwisha kuzini naye moyoni, na unahesabiwa dhambi.

Nyakati za kale, ili utubu dhambi zako lazima ufanye tendo, uchinge ng'ombe au mbuzi kadhaa mwenye(wenye) sifa flani kulingana na dhambi unayoitubia. Nyakati hizi hatuchinji tena kwa sababu yuko aliyechinjwa(Yesu Kristo). Hivyo kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Siku hizi tunatumia kafara la damu ya Yesu na tunahesabiwa haki.

Yohana 1:16 - 17
"Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.

Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo."

Kutumia chumvi au tendo lolote la kiimani sio nyakati zake hizi. Kuna watu hadi wanatumia fruto wanaifananisha na damu ya Yesu, hadi ukienda maduka ya wahindi wanadhihaki wanauliza hununui damu ya Yesu? Ni dhambi mbele ya Mungu kugeuza utukufu wake na kufananisha na vitu vilivyotengenezwa na mwanadamu.

Mwisho kabisa badala ya kufanya matendo hayo ya kiimani ya kuondoa nuksi, tuongozwe na neno la Mungu tu.

"Neno la Mungu ni mamlaka ya juu na ya mwisho kabisa kwa mkristo".
Deliverance
Sasa kuna wakati wewe mzaliwa wa kwanza unaweza kua umeyafanya mambo mawili niliyoainisha hapo juu au hukuwahi kufanya kabisa maishani mwako na maisha yako yamekua totally miserable huoni pa kutokea maisha yako yamejaa giza ila unatamani kutoka huko ulipo utembee katika njia ya kusudi lako, Fear not God got you coverd!

Mwalimu Mkuu/lecture (Yesu Kristo) ni mzaliwa wa kwanza katika familia ya BWwana Joseph na Bibi Mariamu, yeye ndio kiongozi wa wazaliwa wa kwanza wote hapa duniani. Anajua kamba Yule mwovu anawatafuta kwa kila hali ili msiweze ku-pursue kusudi lenu, baada ya kumaliza mkataba wake wa kufundisha hapa Darasani(Duniani) akaondoka zake kwenda kuandaa mataji na vyeti (kupaa mbinguni) kwa wote ambao watakaofaulu masomo yake alijua kabisa hawa wanafunzi wangu wanakumbukumbu hafifu na wakiona mwalimu hayupo hawajisomei tena (kuishi katika maagizo ya Kristo) wanabaki kupiga fujo darasani. Hivyo alipofika huko alipoenda alimtuma Tutorial Assistance wake (Roho mtakatifu) aje kutukumbusha na kutufundisha maagizo ya Kristo kwa wale ambao tulikuja muhula ambao kristo hayupo.

Tutorial Assistance alitufundisha kitu kipya kwa sisi tulioingia muhula mpya mwalimu mkuu akiwa hayupo, Alitufundisha kitu kinaitwa deliverance kwa Kiswahili rahisi ni kupokelewa Upya. Wewe mzaliwa wa kwanza Ukishafika ile sehemu tunaita the point of no Return maisha yako yamejaa taabu na mahangaiko Yesu kristo kupitia roho mtakatifu anatoa huduma hiyo ya kuwapokea upya wale wote ambao wamepote maana yeye ni mchungaji mwema kondoo wake mmoja akipotea atahakikisha anamtafuta na kumrudisha kundini…Hivyo Yesu kristo kupitia Roho mtakatifu amewaagiza watumishi wake kuwa na siku maalumu au vituo mbalimbali vya kupokea wale wote waliopotea. Ukienda hapo wataformat Had Disk Drive yako (roho) na kufuta cockies na caches (roho za giza) zote zisiweze kukufuata tana.
 
Sasa hapo umekuja penyewe. Badala ya kutumia vitu vingine kama kiwakilishi cha kuondoa au kuclear mambo flani yanayotuandama kwenye maisha yetu ambayo ni mabaya tumtumie huyo huyo Roho Mtakatifu, tujenge urafiki na Rohi Mtakatifu na kumshirikisha kila hatua ambayo tunaipiga au tunaiendea katika maisha yetu. Tatizo letu hatutaki kumshirikisha mambo yetu, hapo ndipo wengi wanapofail.
 
still chumvi ni tiba ya asili kama Mungu alivyowaagiza watu wake waitumie...sisi wakatoliki twaitumia
welcom
Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike
 
Hapana, chumvi ni kwa ajili ya chakula sio kwa ajili vitendo vya kiimani, waganga wa kienyeji nao hutumia chumvi katika tiba zao. Tujajitofautisha vipi sisi tunaoongozwa na neno na hao waganga ikiwa wote tutatumia chumvi kama tiba.

Then, asante kwa tag ntaupitia nkitulia.
 
Kiongozi huamini chumvi ilitumiwa kuosha watu kwa agizo la Mungu
 
Situmii chumvi. Natamka tu na kuamini.

Nyakati hizi sio Agano la kale, ni nyakati za Roho Mtakatifu.

Yesu kuna mahali alimpaka kipofu matope ili aone, haimaanishi ndo kila kipofu anatakiwa apakwe matope ili aone. Wengine aliwaambia tu imani yako imekuponya au nataka takasika. Yote haya ni kwa sababu aliongozwa na Roho wa baba.

Baada ya Yesu hakutuacha yatima bali alituletea msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu. Ulimwengu hawamtambui kwa sababu hawamwoni ila wale ambao anakaa ndani yake. Huyu anatuongoza, anatufundisha na kutukumbusha yote.

Situmii chumvi bali naongozwa na Roho.
 
Kiongozi je unatuambiaje sisi wakatoliki tunaotumia chumvi katika shughuli zetu?
 
TATIANA
FB_IMG_15776607151241080.jpg
 
Now you got what you wanted you don't even remember my name, be good to the people on your way up
 
God has purpose for everything happens to our life..Keep praying
 
Back
Top Bottom