Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Samahani mkuu Da'Vinci hivi mtu aliyeamka kiroho (spiritual awakening) na mchawi wakishindana ni nani atakuwa zaidi ya mwenzie?
Mtu liyeamka kiroho ana nguvu kubwa sana kuliko mchawi.

Mimi binafsi shahidi mkuu.

Na una uwezo wa kumtambua mapema sana mtu mwenye nia ovu na pia inaweza tokea mkaanza kushindana wakati mnafanya mazungumzo ya kawaida tu.

Yaani wengine wanawaona mnasalimiana au kuongea kawaida ila kiroho mnazipiga sana tu.
 
Mkuu wachawi hua wanajifunza mambo ya spiritual awakening pia. Halafu kama umenote pia hua wapo vizuri pia kwenye psychology...maana ni vitu vinavyoendana.
Spiritual awakening ni beyond magic.. Magic ni part of spiritual awakening ndio maana unapo practice spiritual awakening inabidi uangalie Back up ya hicho ukifanyacho kipo wapi
 
[emoji23][emoji23] Nimeuliza hivyo course mtaani kwetu kunavurugu nyingi mno,,. Yaani hakuna kulala ikifika usiku ni vishindo kwa kwenda mbele,, paka ndo usiseme wanalia utazani watoto wachanga wanataka kunyonya,,
Nifate njia ipi ili na mimi niweze kuamka kiroho?
 
Ni njia ipi nyepesi na ya haraka ambayo ninaweza kuifanya nikaamka kiroho ki urahisi? Msaada
 
Somehow I can argue that soul is responsible for all body's actions
Mkuu ndio hapo kwenye ku Convice mwili kua wewe ni mzima wakati sio mzima Eg huwezi kutembea
So unapoConvice mwili wako kua unaweza kutembea kinachotokea unakua umeConvice cell zako kufanya Cellular regeneration. Hapo sasa Kiunganishi inakua ni Spirit reorientation
 
[emoji23][emoji23] Nimeuliza hivyo course mtaani kwetu kunavurugu nyingi mno,,. Yaani hakuna kulala ikifika usiku ni vishindo kwa kwenda mbele,, paka ndo usiseme wanalia utazani watoto wachanga wanataka kunyonya,,
Nifate njia ipi ili na mimi niweze kuamka kiroho?
Pole sana mkuu. Muombe sana Mungu na pia ujifunze namna ya kuamsha nguvu ya kiroho. Ni msaada mkubwa sana mkuu.

Binafsi naamini kila mmoja anayo hii nguvu, tatizo wengi hawajui namna ya kuiamsha na hata kuitumia, hivyo wengine kuishia kudanganywa kwenda kwa waganga na mambo mengine ya kishirikina wakiamini watapata ulinzi na mambo yao yatanyooka.
 
Mkuu ndio hapo kwenye ku Convice mwili kua wewe ni mzima wakati sio mzima Eg huwezi kutembea
So unapoConvice mwili wako kua unaweza kutembea kinachotokea unakua umeConvice cell zako kufanya Cellular regeneration. Hapo sasa Kiunganishi inakua ni Spirit reorientation

Maada zako ni ngumu kumeza
 
Mkuu wachawi hua wanajifunza mambo ya spiritual awakening pia. Halafu kama umenote pia hua wapo vizuri pia kwenye psychology...maana ni vitu vinavyoendana.
Spiritual awakening ni beyond magic.. Magic ni part of spiritual awakening ndio maana unapo practice spiritual awakening inabidi uangalie Back up ya hicho ukifanyacho kipo wapi
Ni kweli mkuu.

Spiritual awakening is beyond magic.

That's very important point.
 
Mkuu hazieleweki???

Siyo kwamba hazieleweki, laa hasha...

Bali inahitaji mtu akili itulie ifikiri sana ndiyo ianze tambua unachokizungumza.

Na kidogo unakuwa unakinzana na mimi kwa sababu moja, niseme tu ukweli kuwa kwenye mambo ya kiroho mimi siko aware sana na ndiyo maana nachukua mda mwingi kutafakari kwa sababu I'm not aware with spiritual matters , ndo maana kuna mahali niliona umeandika Mwili ni kasha tu kuna kilichobeba mwili ambacho ndicho kinauendesha mwili...ilibidi nikae nianze kupumua kwanza nione ni kipi hicho.

By the way labda nikijifunza mambo ya kiroho nikaiva ndiyo nitaelewa zaidi vitu unavyovizungumza.
 
[emoji23][emoji23] Nimeuliza hivyo course mtaani kwetu kunavurugu nyingi mno,,. Yaani hakuna kulala ikifika usiku ni vishindo kwa kwenda mbele,, paka ndo usiseme wanalia utazani watoto wachanga wanataka kunyonya,,
Nifate njia ipi ili na mimi niweze kuamka kiroho?
Mkuu njia ya kwanza kuamka kiroho kwanza lazima UAMINI kuwa una uwezo na nguvu ndani yako ya kutawala maisha yako.

Kama ni mkristo sali sana ili kuimarisha hiyo nguvu. Kama ni muislamu pia swali sana ili kuimarisha hiyo nguvu.

Lengo la kusali sana ni kuongeza ukaribu na Mungu. Mungu ni roho, hivyo automatically utakuwa unaongeza uwezo wako wa kiroho na ndiyo kuiamsha.

Fanya meditation sana, hii inasaidia katika kuuelewa ulimwengu wako wa ndani na kuunganisha nafsi, akili na roho hivyo kuuelewa ulimwengu wako wa nje pia. (Kuna mengi hapa katika meditation, zaidi Fanya meditation kwa ku-focus katika nguvu yako ya ndani).

Kumbuka meditation zipo za aina tofautitofauti. Siyo lazima ukae ukunje miguu kama wale monks wa budhism.

Unaweza meditate kwa kusoma bible au Quran, kutegemeana na imani yako. Au pia unaweza tafuta sehemu tulivu na ukafanya meditation ukiwa umekaa.

Usiruhusu mtu kujua undani wako sana kupita kiasi (unafanya nini, background ya maisha yako, unaishije, yaani mambo yako wahusishe wale ambao unawaamini na nafsi yako haiwezi jihukumu ikitokea umemwambia jambo fulani.)

Jifunze kusikiliza sauti ya ndani yako. Ukitaka kufanya jambo nafsi yako ikasita, jiulize kwa undani kwanini ? Ukipata majibu ndipo uamue kufanya hilo jambo kutegemea na majibu utakayopata.

Usiidanganye nafsi yako, ukifanya jambo ovu kuwa mtu wa kukubali na kutubu. (Jitahidi kuwa mwaminifu kwa wewe mwenyewe) na usiwe mwaminifu kwasababu ya mtu fulani, Hapana. Kuwa mwaminifu kwa wewe mwenyewe.

Kama ndiyo mwanzo utahitaji muda na jitihada katika kuimarisha nguvu yako, ila practice sana.

Pia unaweza ongeza na mazoezi ya kawaida kutegemeana. Binafsi nimepitia mafunzo ya shoulin kung fu, hivyo mazoezi magumu na meditation mara kwa mara zimenisaidia sana katika kuielewa nguvu yangu ya kiroho.

Lakini yote yafanyike kwa nia njema.
 
Asante Sana Mkuu,, nashukuru kwa kunipa mwanga,, nimepata pakuanzia ili kujilinda,, Binafsi kukaa tu kimya siwezi (meditation), mawazo yanapita mengi Sana kichwani, je, nikimeditate kwa benaural beat naweza nikaisikia hiyo sauti yangu ya ndani? japokuwa beat inamakelele inakuwa hakuna ukimya tena.

Nime-google kuhusu meditation nikakuta kuna kitu inaitwa amsha Chakras. Unaweza ukaamsha Chakras ukiwa umekaa kwenye kiti tofauti na ule mkao wakukunja miguu?
 
Siyo kwamba hazieleweki, laa hasha...

Bali inahitaji mtu akili itulie ifikiri sana ndiyo ianze tambua unachokizungumza.

Na kidogo unakuwa unakinzana na mimi kwa sababu moja, niseme tu ukweli kuwa kwenye mambo ya kiroho mimi siko aware sana na ndiyo maana nachukua mda mwingi kutafakari kwa sababu I'm not aware with spiritual matters , ndo maana kuna mahali niliona umeandika Mwili ni kasha tu kuna kilichobeba mwili ambacho ndicho kinauendesha mwili...ilibidi nikae nianze kupumua kwanza nione ni kipi hicho.

By the way labda nikijifunza mambo ya kiroho nikaiva ndiyo nitaelewa zaidi vitu unavyovizungumza.
Mkuu pole sana kwa hilo..
Tatizo ni kwamba mada zangu nyingi hua naandika kwa mfumo wa sequel.. mada hii ili uelewe vizuri inabidi usome nyuzi zangu kadhaa za miaka ya nyuma. Maana huko tunaaanza na kujiuliza mimi ni nani??? Ukishajua ndio unanmsoma yule uliyemjua sasa.

Je wewe mkuu Unadhani wewe ni huo mwili????maana utaupoteza soon tu utakapokufa. Je nawe utakua umepotea?? Mwenyewe si unasikia wanaita kwamba huu ni "Mwili wa fulani" kwenye misiba je fulani mwenyewe yupo wapi??? Ndio utagundua kua huo ni mwili tu wa vildamir putina ila putina mwenyewe yupo sehemu. Sasa hapa tunadeal na huyo V Putina sio mwili wake.

Kweye kuuconvice mwili kua unaweza kutembea wakati mtu huyo ameparalaizi inakua hivi...
Kama mtu kapalalaizi akiwa anatibiwa daktari nazipangilia upya neva zilizoharibika kwa madawa na upasuaji..hapo Cell zitauponyesa mwili huo uliopalalaizi mwili huo, hapo Cell zinakua zimeprogramiwa/Programmed na Daktar kujirudisha kama ilivyokua mwanzo ili mtu apone..kitendo hicho kinaitwa Cellular regeneration.

Sasa mkuu kila kitu kinaanza rohoni as a power house ya mwili...Mara nyingi tunavyotibiwa hospital tunatibiwa kutokea nje (mwilini) sio kutokea ndani ya Roho. So hivyo basi ukitaka kujitibu kupitia rohoni kama hivyo mtu aliyeparalaizi kujiconvice kwamba anaweza kutembea. Anapojikonvisi hivo anaruhusu roho yake kuachilia nguvu zake za kioho (Psychic Power) kuja kwenye mwili wake. Zinapoingia mwilini mwake in Extraordinary way mtu anajikuta ameweza kutembea. So technically mtu anakua hajatibiwa kwa cellular regeneration bali zile nguvu zake kiroho alizoziachia kuingia kwenye mwili wake...

Sijui angalau umenielewa mkuu ....?
Sio mtu wa medical labda Rebeca 83 atusaidie hapo kwenye cell regeneration
 
Haaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa D'avinci mimi ndio wa kuelewa haya mambo? acha kunionea mkuu
 
The Question is how to chanel your Dimmensional Power to the body???
 
Mkuu umeeleweka vizuri sana. Mimi hapo ukiongelea mambo ya kiroho huwa unanigusa sana. Napenda Sana kujua na kujifunza kuhusiana na mambo ya kiroho,, ni kweli kila kitu iwe ni ugonjwa au jambo lolote lile linalotokea mwilini, source yake huwa ni rohoni, mwilini lina Manifest tu, iwe ni ugonjwa, kazi, mafanikio, uzao, akili, uchumi, laana, mikosi, n.k. Siku zote katika maisha ni muhimu sana kujua chanzo. Mambo ya kiroho ni nadra sana kusikia yakiongelewa, lakini ndio kwenye reality yetu. Wengi huwa tanaziangalia changamoto/ situation mbalimbali tulizo nazo kwenye maisha na kujaribu kuzitatua phisical kumbe ungeanzia rohoni ingekuwa ni nyepesi Sana.
Samahani kama nimetoka nje ya mada
 
Back
Top Bottom