Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki

Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke

Yote yanawezekana ila kunasa kwa uume ndani ya uke ni jambo la nadra sana kutokea ila linatambuliwa kisayansi

Wanasayansi wanasema hivi kuwa kipindi unapofanya mapenzi huweza ikatokea baadhi ya mishipa ndani ya uke kuweza kuubana uume kiasi ambacho mwanaume hawezi kuchomoa uume wake

Kitendo hicho mishipa ya uke kuubana uume kwa nguvu kitaalamu huitwa Vaginismus na mara nyingi husababishwa na matukio ya nyuma ya mwanamke

Kwa mfano ikiwa mwanamke ana kiwewe kutokana na mambo yaliyomtokea awali kwenye tendo la kujamiana labda alipata maumivu makali kwenye sex zilizopita, au pia kupata maumivu makali wakati wa tendo linaenedelea au sababu nyengine za kihisia basi huweza ikatokea hiyo Vaginismus

Unajua Hakuna kisichokuwa na ulinzi kwenye mwili wa binadamu hivyo hata UKE nao una ulinzi wake hivyo mwanamke anavyopata maumivu makali sana kupita maelezo kipindi cha kujamiana akili hujiambia huenda kuna kitu kibaya kinaweza kutokea hivyo hiyo mishipa hufanya Kazi hiyo

Ikiwa ikitokea hiyo mwanamke cha kwanza anatakiwa a relax asipanik atulie kisha afanye vizoez vidogo vidogo hii itasaidia kuondoa lile wazo la akili juu ya kitendo hicho kisha uke utaachia tu

Na kitendo cha uume kushindwa kutoka ukeni kitaalamu huitwa Penis Captivus

Huenda ni mambo ya kishirikina yamekusababishia hivyo ila kwenye sayansi hayo mambo yapo

Je ulishawahi kutokewa na tukio gani lisilo la kawaida kwenye tendo la kujamiana?

images - 2021-11-10T041550.384.png
 
"Ikiwa ikitokea hiyo mwanamke cha kwanza anatakiwa a relax asipanik atulie kisha afanye vizoez vidogo vidogo hii itasaidia kuondoa lile wazo la akili juu ya kitendo hicho kisha uke utaachia tu"

Hivyo vizoez vidogo atafanyaje akiwa na mwanamme aliekatalia ndani ya uke wake?
 
Back
Top Bottom