bush striker
Senior Member
- Feb 16, 2019
- 102
- 249
Hapana mkuu hata hizi jezi zetu kama Crown na ndugu zake ziko na option hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Old model Double cabin 2.8Hilux ipi mkuu kama ni hizi new model zina taa Kali Sana ndio maana narudi kwenye point wengine Wana mtatatizo ya macho we unaona unamewasha taa ndogo kumbe kwa wenzio ni Kali.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
nakutanaga nao sana hao hasa njia hii ya morogoro road hasa kuanzia mida ya saa 5 usiku.Una uzoefu wa kuendesha gari highway usiku?
Embu nipe experience yako pale unapokuwa na gari ndogo kisha ukapishana na Lori ambalo limewasha full light.
Kile kipande cha sekunde chache mnapopishana huwa unaona au unaenda kwa uwezo wa Mungu tu?
Kuna ule mchezo road unapishana na mtu unapigia pass apunguze mwanga wa lakini ha-respond Hadi mnapishana.
Hapunguzi nawapongeza madereva malori huwa ni wastaarabu Sana.. upande wangu huwa nafanya vitu hivi nikiona mwenzangu hapunguzi mwanga
1.Napunguza mwendo
2. Sitazami lori, naangalia mstari wa pembeni nje ya barabara, naweka tairi za kushoto kwenye line.
3. Kama mstari wa nje haupo, natumia wa katikati, nahakikisha sitembei
Mwendo nakuwa mdogo mdogo sizidi 50kmph
.View attachment 2420048
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
View attachment 2420096
View attachment 2420097
Mbona zipo mkuu kama njuguHizo glasses nazitafuta kinoma ukutane na Lori Lina sport light za juu zile [emoji119][emoji119]
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Mkuu tabia ya mtu kurekebisha ni ngumu mno, but always Linda usalama wako, slow down,keep left, na dim taa zako, ukitaka kushindana naye unaweza poteza maisha, muda na utajiharibia safari yako, kupishana ni less than 4s!Hili swala Lina affect wengi Sana humu road wengine Wana matatizo ya macho na baadhi ya ajali zinasababishwa na hii kitu mkuuu so nivizuri kutoa elimu watu ambao huwa hawapunguzagi taa ni Hawa wenzetu wakina su,stk,STL mara nyingi nimekutana nao hawapunguzagi kabisa.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
I wish ni milik mandoline af miwekee ngao ya chuma still afu niwakomeshe kwa kupiga Taa zaoMfano ist au hivi baby Walker ukipima distance ya gari ndogo na kubwa gari kubwa inakuwa ipo juu kidogo so anapopiga full mwanga wote unamwagikia kwenye uso wako Hawa jamaa wa mabasi,STL,stk,su baadhi ni wababe road.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Dada angu nin umeandika , sijui umemuelewa mtoa madaUko mahali Pako mwenyewe Rudi nyuma paki sehemu safe tulia liende laa sivyoo utapata ajali
Haya uliemwelewa jibu nani hajawahi pita highway hata mabasi ya dar to Arusha yanapitagaDada angu nin umeandika , sijui umemuelewa mtoa mada
Kama ni highway punguza speed tembea na mstari kama ni barabara ndogo simama pembeni mwache apiteKuna mwingine una mpigia pass apunguze anagoma imagine unafanyaje mkuu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Nasema hivyoo naambiwa sijuiKama ni highway punguza speed tembea na mstari kama ni barabara ndogo simama pembeni mwache apite
Hakuna madereva siwapendi kama waendesha malori....
Nilishapigwa full taa,zile zinakaa juu kabisa ya kibini aisee, aah wakuu mungu ni wakuabudiwa siku zote..
Mafuso na magari ya kokoto ndo wenye fujo.Hata magari makubwa mkuu ni wachache hasa madereva wa malori ya mizigo wana adabu kidogo usiombe ukutane na hawa wa malori ya mchanga ni shida.
Gari imewaka taa kama kituo cha kupozea umeme cha tanesco mbele huoni. Mimi huwa nikiflash taa zangu naona hapunguzi nawasha full na mimi huku nikijihami kwa kupunguza speed.
N:B sipendi kuendesha gari usiku sababu madereva wengi hawafuati sheria usku na walevi ndio mida yao hyo.
Hakuna watu nawakubali kama madereva wa malori hawa jamaa Wanajitambua Sana mara nyingi usiku huwa ukiwaomba kupunguza taa wanapunguza tena unatakiwa uombe mapema ukiwa mbali ukiwasha taa zako mara 4 lazima atapunguza mwanga Tu na hata ukipunguza mwendo na kuwasha indicator ya kulia atabalnce gari yake asikugongeMafuso na magari ya kokoto ndo wenye fujo.
Ila semis hawanaga noma. Ni wastaarabu sana.
Wanaoendesha vigari vidogo ndo pasua kichwa sasa. Hao anaweza asipunguze mwanga hata kama umemuomba apunguze.