Je, unafikiri hii vita ya Iran na Israel itatokea kweli?

Je, unafikiri hii vita ya Iran na Israel itatokea kweli?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Maoni yangu hii vita haitatokea. The fact kwamba wahasimu hawa wawili, wakiwashirikisha Super Power walio upande wao wamefikia hata kuzungumzia silaha za Maangamizi (kunazungumzwa sasa Nuclear), hii inanifanya nikumbuke Maandiko ya Biblia kuwa Mungu hataacha mwanadamu aiharibu dunia beyond repair Ecclesiastes 1:4 NB kule Hiroshima ilikuwa ni Atomic, not Nuclear.

Kama itapiganwa kweli, chochote chaweza tokea upande mbinu za kifundi za kijeshi kuzuia maangakizi ya Dunia kwa ujumla na mbinu hizo i have a feeling, utawala mmojawapo kati ya Iran au Israel hautabakia kama ulivyo na hivyo kubadili kabisa peace talks dynamics za mashariki ya kati. Ukurasa mpya kabisa utafunguliwa.

Nasikia wahasimu hawa wamekamiana kuonyeshana ubabe wao this week.
 
Irani na wazayuni hawawezi kupigana kwa sababu hao ni ndugu na wote ni mayahudi ila wairani wanajifanya waislamu ili kuyavuruga, kuyaharibu na kuyapotosha mafundisho matukufu ya dini ya kiislamu.

HAO NI NDUGU HAWAWEZI KUPIGANA na kutishana kwao ni kizihadaa nchi za kiarabu zimuunge mkono muirani halafu kibano kiwageukie wao.
 
Back
Top Bottom