Je Unahitaji Mtaji Mkubwa wa Biashara Kuanzia 2.7b?

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.

Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.

Wasiliana nasi kwa email humble2080@gmail.com
 
Mnatoa fursa za mikopo ya biashara pia??
 
Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.

Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.

Wasiliana nasi kwa email humble2080@gmail.com
Nyie mna mtaji kiasi gani?
 
Hapana, hatutoi ushauri namna ya kutumia bali tunatoa ushauri namna ya kupata. Na sisi kama consultancy jukumu letu ni ushauri tu, ila ndani ya ushauri kuna kila kitu including hizo connection unazosema.
Dah yaani Kama ni swali Ume enda op kabisa, nika jua una toa mikopo hiyo.

au ni kampuni inayo waunganisha wafanya biashara na mabenki fulani.

Kumbe una toa ushauri jinsi ya kutumia mkopo??, not bad ila ukute we mwenyewe huja wahi shuhudia 500m za
 
Kwahiyo nikishakopa 2b kwa huo ushauri wako kutoboa uhakika?
Vp nikifeli na hela ya ushauri mshakula?
hujamuelewa,kama unataka 2b muone yeye atakushauri wapi unapata hizo hela kwa mkopo....utampa ada yake ya ushauri.
 
Back
Top Bottom