Je Unahitaji Mtaji Mkubwa wa Biashara Kuanzia 2.7b?

Je Unahitaji Mtaji Mkubwa wa Biashara Kuanzia 2.7b?

Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.

Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.

Wasiliana nasi kwa email humble2080@gmail.com
Huu mtaji mmh! 2.7B ?
 
Huna official email yenye domain ya kampuni yako, je uko serious?
 
Hapana, hatutoi ushauri namna ya kutumia bali tunatoa ushauri namna ya kupata. Na sisi kama consultancy jukumu letu ni ushauri tu, ila ndani ya ushauri kuna kila kitu including hizo connection unazosema.
"Sisi kama consultancy"!!!???
Wabongo kwa broken English ni kama uji na mgonjwa!
Usahihi ni kusema ,Sisi kama consultants!
Jifunze tofauti kati ya verbs na nouns!
 
Yaan wewe umshauri mtu akskope 1 b alafu ktk hiyo akulipe ww, why usikope ww hiyo hela
 
Una ambiwa nenda PM!!
Lakini tangazo lipo hapa.
All the best
 
Back
Top Bottom