Mnatoa fursa za mikopo ya biashara pia??Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.
Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.
Wasiliana nasi kwa email humble2080@gmail.com
Nyie mna mtaji kiasi gani?Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa.
Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana.
Wasiliana nasi kwa email humble2080@gmail.com
Nyinyi ni kampuni au ni wewe tu mtu binafsi...?
Tunao mtaji wa kutosha kazi zetu tunazofanya.Nyie mna mtaji kiasi gani?
Mnatoa fursa za mikopo ya biashara pia??
Dah yaani Kama ni swali Ume enda op kabisa, nika jua una toa mikopo hiyo.
au ni kampuni inayo waunganisha wafanya biashara na mabenki fulani.
Kumbe una toa ushauri jinsi ya kutumia mkopo??, not bad ila ukute we mwenyewe huja wahi shuhudia 500m za
Hamna
Sawa, wewe nena kwenye kitu.Hamna kitu hapa
Baadhi ya Watatanzania ni watu wa ajabu kabisa, haujathibitisha unachosema unaishia kuwakatisha tamaa wengine, wewe kama huhitaji, wenye kuhitaji watakuja.Watapigwa watu hapa very soon
hujamuelewa,kama unataka 2b muone yeye atakushauri wapi unapata hizo hela kwa mkopo....utampa ada yake ya ushauri.Kwahiyo nikishakopa 2b kwa huo ushauri wako kutoboa uhakika?
Vp nikifeli na hela ya ushauri mshakula?
This is the correct point. Asante..hujamuelewa,kama unataka 2b muone yeye atakushauri wapi unapata hizo hela kwa mkopo....utampa ada yake ya ushauri.