TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Ndugu yangu, mwanamke mzuri kabla hata hajakupa mzigo we tayari mnara unasoma 5g, usiku kucha unawaza hiyo mechi kesho itakuaje, unawaza ukimvua nguo, unawaza ile ngozi yake laini, unawaza yale macho, lile tackle utavyolichezea, unawaza sauti yake atavyokua analalamika. Hiyo inasababisha by the time mnafika lodge wazungu tayari wameshasogea mlangoni wanachungulia nje..! 😁Alafu hivi kwa nini show mbovu inatokea kwa wanawake wazuri sio kwa ng'ong'ozo? 🤣🤣🤣🤣
Na ndio maana mwanamke hata awe mzuri kama malaika, ukishamla mara moja ukija kumla tena unakua na utulivu wa hali ya juu zile papara kunakua hamna tena.