Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Nakumbuka miaka ya nyuma katika miaka ya balehe hivi tulikuwa tukikaa vikundi vya vijana hatuna kazi tuna discus mambo ya wanawake tukaja kufahamishana kuwa kuna dawa za kufanya upige show adi unaunga umo umo kuna dawa moja ndo kipindi hicho inaingia Tz inaitwa erectro ipo 50gram/100gram basi nikaanza kutumia 50grams kwa kila mwanamke niliowahi kumeet nae sasa baadae nikatamani nitumie 100gram maana nikawa naskia ipo vizuri sana hiyo ndo kiboko kuna GF wangu mmoja nilikuwa kabla ya kukutana nae ilikuwa lazima nimmezee hiyo kitu ili nionekane kidume isitoshe alikuwa anamzigo na yupo sexy kinyama sasa ili nimfaidi vizuri namlia electo 100gram. siku moja tumeingia lodge ilikuwa self contained akaomba akaoge kwanza.Ile kutoka anakuta mzee nameza kitu alaf kwa kujishtukia alaf anaona natupa kiganda weeeh mike umemeza nin niambie aisee siku ile nilipata fedheha ya kufa mtu japo show nilipiga lkn sio kwa kufaidi wakat tupo lodge mapumziko kwa ajili ya round 2 nikawa nachat na manzi mmoja mchepuko si akashtukia Kwann niko bize na kutype Kwann asinipole simu ile anasoma paragraph ya kwanza nikamtaim na kumpola simu vulugu zikaanza nimwambie nina chati na nani la sivyo anaondoka nakuniacha hapo lodge nikagoma niliishia kumwambia ni dada mmoja nurse huwa tunanataniana sana WhatsApp mchuchu akanuna mixer machozi akavaa nguo na kuita boda nduki baada ya wiki akanicheki nikamweleza ukweli basi maisha yakaendelea ila niliishia kupiga kimoja tu alafu hela ya lodge,boda,zilinitoka.