Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

dah nishawahi kupiga show moja mbovu sana, huyu mtoto alinisumbua kalenda nyingi na mzinga mingi basi ikawa nimemshtukia, hela situmi nae nikimwomba ananinyima

siku ya siku akasomeka baada ya kunipiga mzinga nami nikamwambia aifate hela, so akaja ile kufika geto tupo ndani sasa akataka hela before nami nikaomba mzigo. yeye akasisitiza hela, tatizo sasa hela aliyoiomba nami nikamuahidi sikuwa nayo kamili bali pungufu yake, ila nilimwambia aje ninayo ili tu aibuke magetoni

basi kuona pungufu, hela akasusa na mzigo nikanyimwa sumbuana usiku kucha wapi basi nami nikapotezea

kufika alfajiri manzi akaona atakosa mwana na maji ya moto,akasema naomba hiyo hiyo nami nikasema nipe si akawa mpole, unaambiwa hata haijasimama vizuri nikafosi niweke ili iamkie humo humo aisee sekunde 30 nyingi unaambiwa mtoto alipiga uno la kwanza, la pili wakoloni hawa hapa
niliona noma sana, na ukizingatia sikuweza kufosi abaki mpaka baadae maana ilipaswa nimtoe mida ile ile ya kigiza kabla wanoko wengine (majirani zangu) hawajaamka pale magetoni. Nilimsindikiza ila nilijisikia chenga sana, na sikiwahi kupata rematch. Hapo ndio mahali ambako nimeacha CV mbovu
Ha ha ha....
 
Show mbofu, aisee kuna manzi nilikuwa nmafuatilia tangu tukiwa chuo huko alikuwa na jamaa yake chuo kingine, hapa na pale mpaka tumemaliza chuo sikuwahi kula mzigo ila kumchezea sana tuu, mzigo hanipi ghafla kama miak miwili baada ya kumaliza chuo ananicheki anakuja kwenye interview anaomba kama vipi nimtafutie lodge, nkaona hii mbuzi inajileta na mchinjaji ndio mimi mwenyeweee, nikashafish room ya wageni panga vizuri nikamuambia ipo tayari booked, mida ya jioni nkasogea ubungo kumpokea haoo straight home, nilikuwa nnakaa na sister yangu alinitembelea pia, sister kapika tukala piga story mpaka mida ya saa 5 kila mtu anaaga kulala

Imefika saa 6 pixel kasimama hatari, nnaandika text nimtumie mgeni nataka kuja tuongee, nnaona text inaingia “are you coming?” Hata sikujibu nikafungua mlango wangu nikanyata kibingwa mpaka kwa mgeni chumba cha sister kipo katikati hapo, ha ha nimefika napokelewa na mahaba mazito kisses za kufa mtu dah kukuru kakara mzigo nimetengewa huu hapa, nachomeka tuu wazungu haoooo [emoji23][emoji23][emoji23], akacheka

Daah nikaanza upya ile nnaingiza tena wazungu haooo...nkamuaga usiku mwema

Hiyo kesi niliimaliza alfajiri maana nilirudi tena, mbaya zaidi haikuwa kificho tena maana kila mtu alisikia hadi majirani
Ha ha ha....
Wee jamaa bhana
 
Aisee show mbovu zipo. Kuna hiyo show ilivoisha nikajiuliza sasa hii dhambi ya uzinzi nimeipata bure tu hata sijafaidi kitu. jamaa alinichosha halafu hamna kitu. Nilijuta kujiongezea body count kwa show ya kijinga ya yule mwarabu. Pumzi hana, kibamia alafu mfupi.
Ha ha ha...
Kumbe Hadi wanawake yanawakuta?
 
Wakuu story zenu nimecheka balaa, fedheha kubwa sana kushindwa mechi, ila bahati mbaya lazima tu itakutokea.
Wengi Sana zinatukuta,
Mi bahati mbaya zangu Ni zile nnapokua a na race tofauti. Nmewahi kuumbuka Mara 2
 
mie ilinikumba hiyo kitu ila katika hali tofauti na wengine maana mie huyo demu nilimla fresh mara ya kwanza halafu siku nyingine nikapata safari ya kikazi kwenda Mbeya na staff wawili na dereva so demu nikampandisha kwenye New Force toka Dar akaingia Mbeya kama saa nne hivi sie tuliwahi kama saa moja usiku. So nikawa namsubiri ile minyegere si nikapiga puchu bao moko. Mwanangu demu alivyofika kila nikimchezea kitu hakiamki nimehangaika kitu wapi sasa na ule uoga na baridi la Mbeya yaani ilikuwa aibu

Demu alikuwa anashangaa tu anauliza una tatizo gani yaani nilifedheeka sana. Baadae nikapata akili ya kuzama chumvini maana siku ya kwanza nilimzamia alikuwa anapagawa mpk macho kama kiini kinapotea hivi so mzee nikala chumvi mpk demu analia nitiee nitiee.

To cut story short ni kwamba kitu akikuamka mpk usiku tumelala karibia na asubuhi ndio network ikakamata nikapiga mashine fresh na tulikaa pale siku 3, nilikula mzigo mpk nikapata maumivu ya pumbu
Ha ha ana...pole Sana [emoji28]
 
Wakuu mimi naomba niseme ukweli. Kuna mchepuko wangu mmoja niko nao zaidi ya miaka miwili sasa. Huyo demu ni mzuri kinoma kuanzia sura hadi shepu kwani ana kiuno chembambaaaa na boonge moja la kalioo!!
Cha ajabu sasa, yaani katika miaka yote miwili niliokaa na huyo demu sijawahi kupiga nae shoo ikawa ya maana hata mara moja! Kila nikikutana nae hua naishia kupiga shoo ya hovyo sana mpaka najishangaa. Nimeshajaribu kumpiga chini kwa aibu mara kibao ila hua ananitafuta kwa bidii sana na kulia mpaka tunarudiana sasa namshangaa hua ananipendea nini? Hela sina za kumpa, shoo ni ya hovyo sana ila yupo tu!
Cha kuchekesha sasa, hapo katikati nimeshakua na uhusiano na mademu wengine wawili. Aisee nikikutana na hao mademu shoo ninayoporomosha hua ni ya kiwango cha SGR mpaka kuna mmoja anasema hua natumia dawa!
Yaani hapa nilipo natamani niwakutanishe hawa mademu wawili na yule mmoja ili wamhadithie mambo yangu maana nahisi atakua ananionaje sijui.
Dah! Pole Sana,
Au atakua wabaridi Sana mkuu[emoji848]
 
Mi shows zangu ni A+ kuna pisi mpaka iliomba maji...nasubir siku ya kupata show MBOVU
 
Haya mambo nyie yaskieni tu..

Ilikuwa mwaka jana nilikutana na pisi moja la Kinyiramba..

Toto limekuja mijini kufanya kazi, limetokea singida..

Basi muhuni sikutaka kupoteza muda. Nikatoa miahadi ya ndoa kama yote. Toto likanielewa

Tukapanga siku ya mechi, hao paka getho. Aisee kwa hakika toto liliumbika vya kutosha. Chezea sana. Kila nikijaribu kupenyeza mkunyenge chuma kinalala..

Mapigo ya moyo yakaenda mbio. Nikaanza kutia huruma. Toto likaniuliza ' vp my unatatzo '

Dah.. Ilinibidi tu niage niondoke zangu.

Dah sitasahau..

Dah mkuu [emoji1487][emoji1487][emoji1487]pole asee
 
Maskini yule dada anisamehe ilikuwa shoo yang ya kwanza na mbovu hakuna. Mtoto mkali kinoma alikuja magheton the first time mapigo ya moyo yalikuw kask n kuhema kam nakimbizwa. D haikusimama kbs na mtu yupo ready siku hiyo sitokuja kusahau mpk nilijiinamia chini. Nilishindea hata kumuangalia NAJUTIA KINOMA.
 
Maskini yule dada anisamehe ilikuwa shoo yang ya kwanza na mbovu hakuna. Mtoto mkali kinoma alikuja magheton the first time mapigo ya moyo yalikuw kask n kuhema kam nakimbizwa. D haikusimama kbs na mtu yupo ready siku hiyo sitokuja kusahau mpk nilijiinamia chini. Nilishindea hata kumuangalia NAJUTIA KINOMA.
Mtafute
 
Back
Top Bottom