Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

si wewe ulileta uzi unatafuta marafiki wa moshi?si wewe ukaja na uzi upo lonely unatafuta marafiki wa dar??si wewe ulikuja na uzi unataka dem wa kwenda nae tour?hizo nyuzi zimefutwa ila nakumbuka vizuri id yako na nyuzi zako!!

ulisema madem weng wanakwambia unatabia za kike kike na ukaomba msaada tukusaidie kukushauri leo hii unaruka?ama kwa hakika bado tatizo unalo
Mzee acha kutunga season hapa sijawai kuleta Uzi wa namna hio...labda kama unaongelea ule Uzi wako unaosema kila siku unawashwa nyuma
 
si wewe ulileta uzi unatafuta marafiki wa moshi?si wewe ukaja na uzi upo lonely unatafuta marafiki wa dar??si wewe ulikuja na uzi unataka dem wa kwenda nae tour?hizo nyuzi zimefutwa ila nakumbuka vizuri id yako na nyuzi zako!!

ulisema madem weng wanakwambia unatabia za kike kike na ukaomba msaada tukusaidie kukushauri leo hii unaruka?ama kwa hakika bado tatizo unalo
Sijawai kutafuta marafiki wa moshi au dar..nahisi unachanganya matango
Ni wewe kwel u anayeongea??au ubongo umehamia kwa matako
 
Ubaharia huu ni hatari..

Kuna pisi moja matata kitaani nilikuwa naielewa sana na iyo pisi ilikuwa na msela wake wanaelewana fresh tuu. Ila ufisi sasa nikawa namtamani namuimbisha kama wiki 3 hivi.

Siku amekuja getho kama surprise na blauzi na kanga tuu akaniachia mzigo asee nimepiga tako 3 tuu wazungu hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila niliomba rematch na nikapata ilibidi game isimame katikati tupate "water break"
 
Pole sana [emoji16][emoji16][emoji16] ndo maana siachagi mundende
Tulikamatwa usiku baa na polisi,nimepanda kwenye defender naona pisi Kali inapanda,nikaimbisha palepale tukaenda hadi central na kesho yake nikafanya mchakato wa kutoka pamoja na yeye maana nlimwambia aliyekuja kunitoa kuwa nilikua na demu wangu ndani.
Baada ya Siku kadhaa nikamualika lodge,MWe! Mzigo ukagoma kuamka kabisa, jitahidi lkn WAP! Vita hisia zote mixer romance hata mzigo kushtuka tu,Hamna kitu.nikasikia tu tutaonana Siku nyingine,hadi leo anavisingizio kibao nikimwita na nimempotezea, sijawahi kupatwa vile!
 
Wife ushamzoea mkuu cha kufanya mpakie mundende kuepuka kugongewa
Hii inanikuta hata mimi tena kibaya zaid imekuja kwa wife, mwanzo nilikuwa napiga show kali ila siku hizi hamna kitu kabisa ila ninakamchepuko huwa nikikapga show huwa kanashibdwa hata kuamka maana naunganishia
 
Hahahahah
Nacheka kama mazuri, nilienda kijijini uko nikakipenda kitoto kimoja, kimewashwa longtime kikaomba show baharia nikamwambia fresh. Mtoto akasema nitakupeleka mahali, mapenzi upofu nikapelekwa korongoni, nikivyo na usongo ile naweka kambani mpira, nikaskia mchakacho pembeni ngoma ikalala mazima amsha amsha na wewe amsha amsha na ww wapi ....... Baharia nikadai sielew hiz mazingira, nikaomba turudie show location nikaambiwa pale pale, nilijipanga haswa na mimba nilimzawadia ila roho inaniuma hadi leo, anadai ilitoka yenyewe
 
Back
Top Bottom