Tulikamatwa usiku baa na polisi,nimepanda kwenye defender naona pisi Kali inapanda,nikaimbisha palepale tukaenda hadi central na kesho yake nikafanya mchakato wa kutoka pamoja na yeye maana nlimwambia aliyekuja kunitoa kuwa nilikua na demu wangu ndani.
Baada ya Siku kadhaa nikamualika lodge,MWe! Mzigo ukagoma kuamka kabisa, jitahidi lkn WAP! Vita hisia zote mixer romance hata mzigo kushtuka tu,Hamna kitu.nikasikia tu tutaonana Siku nyingine,hadi leo anavisingizio kibao nikimwita na nimempotezea, sijawahi kupatwa vile!