Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

Haiwezi kuwa ufumbuzi mkuu..mimi nawafahamu walio oa lakin wananunua kuliko mabachela..mmoja aliniambia kuna siku wife anambania miguu wakat yeye ana kiu
 
Inategemea ni bachelor wa aina gani. Kwa mabachela Dume suruali kama mimi kutokuoa ni nafuu zaidi ukilinganisha na hizo gharama ulizo orodhesha hapo juu.
Mfano: mahari 1.5mil, harusi(kama ni mkristo) inaweza ikakutoka milion 5+ kwaajili ya kuongezea mahitaji ya hapa na pale, then huyo binti unaenda kukaa nae for the rest of your life (if god wishes) hii ni expensive.

Bachelor aina ya Dume Suruali anaepuka gharama kwa mtindo huu:

1) hana kawaida ya kuhonga.

2)akibahatika kuopoa, 'mtoto' tayari anakua anajua ana date na mtu wa aina gani, ikitokea amechoshwa na 'ubahili' wake njia ni nyeupe kuondoka. (Hapo ameshatumika zaidi ya 2+ months bila gharama au kwa gharama nafuu zaidi)

Etc...

[HASHTAG]#ManenoYanguSioSheria[/HASHTAG].

Tuombeane uzima bado nipo nipo sana
 
Sasa unaoa ili upate tendo la ndoa kirahisi au?

Je una uhakika upi kama ni rahisi hivyo?
Mkuu Uzi lengo lake ni kuhamasisha vijana waoe na wasiliwe hela zao kwa kutafuta vibinti uchwara vinavyoishi mjini kwa kupitia miili yao
Lakin mkuu kitu chengine maisha ya ndani ya ndoa na maisha ya kula bata na mabinti kitaani na viwanjani bora uoe utapunguza gharama!!!
 
Mkuu Uzi lengo lake ni kuhamasisha vijana waoe na wasiliwe hela zao kwa kutafuta vibinti uchwara vinavyoishi mjini kwa kupitia miili yao
Lakin mkuu kitu chengine maisha ya ndani ya ndoa na maisha ya kula bata na mabinti kitaani na viwanjani bora uoe utapunguza gharama!!!
Nimekuelewa sana.
 
Kama unaona muda wakuoa bado nawewe ni ngono oriented,nenda kajitambulishe nyumbani kwa mdada ambaye ni mkali,kwao wakujue halafu ule mzigo unavyotaka,akisema mbona hunioi unasema bado tunachunguzana.Ukitaka kuoa unamuoa usipotaka humuoi badala yake unaoa mdada mwingine pale muda utakapofika.Tena kwasasa kwasababu mabinti wengi walishapoteza bikra zao,hutalaumiwa pale utakapo ghairi kumuoa huyo uliyemchumbia kwa lengo la kumsex tu badala yake utamwambia "mimi siyo wakwanza" au "mungu hakutaka nikuoe wewe ndiyomaana nimemuoa mwingine".
 
sdasa topic yako inahusu ukimwi au kunjunja kwa bei rahisi? tuanzie hapo kwanza
Mada hii inausu hamasa kwa vijana kuoa na wasiingie gharama kubwa kwa kuhudumia vijidada poa vya mjini bora ukaoa ukawa Safe
 
Bora hata uwaambie,tumekosa wakutuowa[emoji17]
Wanaume mungu anawaona
Hahaha!!! Wasio na hela eti wao ndo wanaongoza kuoa!!!
Kuna mkaka alinifata eti "dada nimekua nakufuatilia mda mrefu, nataka uwe mke wangu!!"
Nikamuuliza swali rahisi sana, "nipe sababu mbili tu kwanini unataka kunioa?" Akasema "moja nikwamba nakupenda saana na pili nataka mtu wa kusaidiana nae kimaisha!" Hali ngumu! Jamani nilichekaaa!!!

Yaani unataka kunioa ili kujikwamua kiuchumi!!! Alikua muwazi ila hapana!!! Akija tajirika huyu si ndo atanitelekeza kabisaa! Au ikatokea hali yangu kiuchumi ikayumba ai atatafuta mwingine!!!
 
Back
Top Bottom