As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
- Thread starter
- #101
Ameen Karibu Tena!!!Usijali jioni iwe njema kwetu sote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameen Karibu Tena!!!Usijali jioni iwe njema kwetu sote
AhsanteAmeen Karibu Tena!!!
Wasalimie uko uendako na wafikishie ujumbe barobaro waoe!!Ahsante
Shukran ujumbe umefikaWasalimie uko uendako na wafikishie ujumbe barobaro waoe!!
Polee... nikichoka kujipikia Ntakuambia usjal[emoji41][emoji41]Bora hata uwaambie,tumekosa wakutuowa[emoji17]
Wanaume mungu anawaona
Ww mwenyewe kwanza uwe Bikira sio Mtembezi huwezi pata Bikira utapata mwenzio kama wewe?Ukitaka kuoa tafuta aliye Bikira, wengineo majanga tu.
Sasa unaoa ili upate tendo la ndoa kirahisi au?Hiyo kazi ya Mungu sasa sisi hatuna Cha kufanya hapo
Mkuu Uzi lengo lake ni kuhamasisha vijana waoe na wasiliwe hela zao kwa kutafuta vibinti uchwara vinavyoishi mjini kwa kupitia miili yaoSasa unaoa ili upate tendo la ndoa kirahisi au?
Je una uhakika upi kama ni rahisi hivyo?
Nimekuelewa sana.Mkuu Uzi lengo lake ni kuhamasisha vijana waoe na wasiliwe hela zao kwa kutafuta vibinti uchwara vinavyoishi mjini kwa kupitia miili yao
Lakin mkuu kitu chengine maisha ya ndani ya ndoa na maisha ya kula bata na mabinti kitaani na viwanjani bora uoe utapunguza gharama!!!
sdasa topic yako inahusu ukimwi au kunjunja kwa bei rahisi? tuanzie hapo kwanzaHapana nyie ndo mnao utafuta ukimwi usiku na mchana mkiupata mnasema ooh nmerogwa
Mada hii inausu hamasa kwa vijana kuoa na wasiingie gharama kubwa kwa kuhudumia vijidada poa vya mjini bora ukaoa ukawa Safesdasa topic yako inahusu ukimwi au kunjunja kwa bei rahisi? tuanzie hapo kwanza
Gan tena?[emoji23]acha mambo hayo!
Hahaha!!! Wasio na hela eti wao ndo wanaongoza kuoa!!!Bora hata uwaambie,tumekosa wakutuowa[emoji17]
Wanaume mungu anawaona