Je, unajua ndani ya idara za usalama na ujasusi kote duniani kuna idara ya kumdhibiti kiongozi wa nchi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.

Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor hutakiwa kuact kwa haraka na weledi ili nchi isitikisike na wao wasisalitiane kuvujisha mission japo hutumia code tata sana.

Itaendelea.
 
Moderators kaleta mwingine! Tuone kama kweli hawakupendi au unawasingizia ubaya!
 
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor hutakiwa kuact kwa haraka na weledi ili nchi isitikisike na wao wasisalitiane kuvujisha mission japo hutumia code tata sana. Itaendelea...........

Angalizo: moderators hawanipendi huwa wanafuta 90% ya nyuzi zangu.
Headline inasema kiongozi content inamzungumzia sponsor, sponsor kwa mujibu wa uzi wako ni nani?
 
Nakumbuka sakata la Jiwe. Alivyoanza kuwa mkubwa kuliko establishments wakapita naye fasta.

Alikuwa na ulinzi wa kufa mtu chini walinzi wa kirwanda kama 30 hivi. Msafara wa ulinzi garai kama 50 hivi. Alafu juu kun ahelcopter ya jeshi.
Eeeebhanaeeeee kama movie la kijeshi.
Ila wahuni wakamuua kikatili sana.
Kuna ukweli wowote kwenye hili? Kwamba mwendazake alikuwa na ulinzi personnel kutoka Rwanda?
 
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor hutakiwa kuact kwa haraka na weledi ili nchi isitikisike na wao wasisalitiane kuvujisha mission japo hutumia code tata sana. Itaendelea...........

Angalizo: moderators hawanipendi huwa wanafuta 90% ya nyuzi zangu.
Top top top🤐
 
U
Kuna ukweli wowote kwenye hili? Kwamba mwendazake alikuwa na ulinzi personnel kutoka Rwanda?
Uzushi tu, aache walinzi wenye weledi wa weigner group warusi wanaojua kazi yao achukue hao majirani ambao tupo level moja?
 
Headline inasema kiongozi content inamzungumzia sponsor, sponsor kwa mujibu wa uzi wako ni nani?
Mimi akilini imenijia wale sponsors wa wanawake wa mjini(madanga),wanakuwaga wazee alafu Wana vitambi. Ngoja arudi maana anasema Kuna part two.
 
Headline inasema kiongozi content inamzungumzia sponsor, sponsor kwa mujibu wa uzi wako ni nani?
Kwa kutaja tu neno Sponsor, Kiintelijensia anaonekana kuna kitu anajua. Tuliosoma Cuba tumemwelewa Sana. Sponsor, Mlaji, Mdhamini na Codes kama hizo hawezi kuzijua Mbumbumbu tu.
 
Back
Top Bottom