Je, unajua ndani ya idara za usalama na ujasusi kote duniani kuna idara ya kumdhibiti kiongozi wa nchi?

Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor hutakiwa kuact kwa haraka na weledi ili nchi isitikisike na wao wasisalitiane kuvujisha mission japo hutumia code tata sana. Itaendelea...........

Angalizo: moderators hawanipendi huwa wanafuta 90% ya nyuzi zangu.
Pumba kama hizi nawaunga mkono moderator wakiwa wanazifuta kupunguza matakata JF.
 
Kwa kutaja tu neno Sponsor, Kiintelijensia anaonekana kuna kitu anajua. Tuliosoma Cuba tumemwelewa Sana. Sponsor, Mlaji, Mdhamini na Codes kama hizo hawezi kuzijua Mbumbumbu tu.
Ana maanisha yule anaeshika remote na kumcontrol aliekua kamara harris wa huku au sio!!!?

HUWA wanaanzia mbali wanaanzia na jasusi anaetegemewa na sponsor halafu anakuja sponsor mwenyewe au sio!!!?
 
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor hutakiwa kuact kwa haraka na weledi ili nchi isitikisike na wao wasisalitiane kuvujisha mission japo hutumia code tata sana. Itaendelea...........

Angalizo: moderators hawanipendi huwa wanafuta 90% ya nyuzi zangu.
Unazani awakupend tatizo wanaogopa avatar yako,ni avatar ngumu sana
 
Sikutegemea kukukuta huku.

Haya tupe materials ya hii idara ipoje
Huyo mjinga mjinga atakueleza nini? Anayejuwa idara ni Rais, DG, Deputy DG na wakurugenzi wa madawati, na angalau RSO, hats DSO hajui, yeye anaripoti taarifa zote kwa RSO hana access zaidi ya hapo, labda kama ni dharura ana access mpaka kwa Rais.

Watumishi wengine wote hakuna mtu anayejuwa kazi zaidi ya ofisi anayofanyia kazi, usisikilize porojo.
 
Kwa kutaja tu neno Sponsor, Kiintelijensia anaonekana kuna kitu anajua. Tuliosoma Cuba tumemwelewa Sana. Sponsor, Mlaji, Mdhamini na Codes kama hizo hawezi kuzijua Mbumbumbu tu.
Leo hata mimi kwa hili ni mbumbumbu ninatoa macho tu
 
Huyo mjinga mjinga atakueleza nini? Anayejuwa idara ni Rais, DG, Deputy DG na wakurugenzi wa madawati, na angalau RSO, hats DSO hajui, yeye anaripoti taarifa zote kwa RSO hana access zaidi ya hapo, labda kama ni dharura ana access mpaka kwa Rais.

Watumishi wengine wote hakuna mtu anayejuwa kazi zaidi ya ofisi anayofanyia kazi, usisikilize porojo.
Hapo kwenye wakurugenzi wa madawati umeenda deep mkuu.

Mpaka lini tuendelee kuwa na wakurugenzi wa madawati wakati hitaji la directorate ya madawati muhimu lipo?
Dawati la Afya ni eneo nyeti sana. Biological warfare hususani chanjo na imported digestives zinatishia ustawi wa Taifa.....

Dawati la Uchumi, tunahitaji kama nchi kuwa na full directorate ya uchumi ambapo tunaona mataifa makubwa yanasabbotage mataifa yanayoendelea na kafhalika. Hatuwezi kuendelea kiuchumi kwa kuangalia opponet anafanya nini, we must do something for our interest...... na kadhalika

Blind Politics zetu zinaigharimu nchi
 
Wewe umejuaje??au ni mmoja wapo wa hao idara nyeti??
Mkuu
Usidhani Idara itatuma watu walete nyuzi zenye mantiki ya kitaifa.

Wengi wa wanaopost mada za ajabu ajabu kama za mapenzi, kuchakatana kimasihara, mada za kula nauli na kadhalika ni watu ambao wanajua wanaratibu kitu gani.

Serikali inapambana kuipoteza JamiiForums kwa kila mbinu. Eneo la hacking limewawia ugumu, kwa vyovyote watatamani kuwahonga staff ambao kimsingi hawajui deep core ya JF, wamejaribu kuembarras founders wamekwama na kilichobaki ni kujiunga na kuidhoofisha ambapo napo wanajikuta kisiwani.

Idara ni eneo nyeti na linalopaswa kuunga mkono ama kuanzisha michakato ya kulisaidia Taifa bila chaos. Lakini idara yetu imefungishwa ndoa ya lazoma na siasa za kipuuzi ili kulinda maslahi ya kikundi kidogo kilichoikamata CCM
 
Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi.
Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor hutakiwa kuact kwa haraka na weledi ili nchi isitikisike na wao wasisalitiane kuvujisha mission japo hutumia code tata sana. Itaendelea...........

Angalizo: moderators hawanipendi huwa wanafuta 90% ya nyuzi zangu.
Duh
 
Kwa nchi kama Danganyika, sidhani kama hiyo idara ipo.
 
Back
Top Bottom