Je, unajua ni kwanini huruhusiwi kuingia au unaingia kwa masharti yasiyo ya kawaida maeneo ya kitalii kama Antarctica na mfano wake?

Je, unajua ni kwanini huruhusiwi kuingia au unaingia kwa masharti yasiyo ya kawaida maeneo ya kitalii kama Antarctica na mfano wake?

Kwani maajabu ya Mungu yapo kwenye uumbaji wa sehemu zinazovyutia peke yake..

Mwili wako tu ni very complex ni ajabu Kuu jinsi mifumo ilivyo so mtu kama ni kuamini Mungu aamue tu mwenyewe asifikirie
 
Ukishashikwa katika mkondo wa drake passage uanze kusumbua watu waje kukuokoa
 
Heading na content ziko tofauti au hatujakuelewa mtoa mada?
 
Kuna sehemu tuliambiwa haturuhusiwi kupiga picha...ilikuwa kwenye makumbushi!
 
Back
Top Bottom