KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Huu uzi lazima utaangukia kwenye udini......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qur-an inasema allah amekuumbieni usiku na mchana ili mpate kujua idadi ya miaka( miezi,masiku,masaa) na hesabu(ahadi mlizowekeana). Kwa kuwa mchana unadumu kwa takriban masaa 12, na usiku unadumu kwa takriban masaa 12. Ndo tunapata masaa 24 ya siku. Allah knows best.
Kama unajua tafadhali nielimishe, nimeijiwa tu na hili wazo from nowhere nikiwaza ingekuwaje siku ingekuwa na saa 48 kwa mfano; ningeweza kuwa na muda zaidi?
Si nadra siku kuisha ukiwa na viporo vya majukumu...
Anyways back to the topic, ni nani aliamua siku iwe na saa 24 tu?
Mimi baada ya kukosa jawabu hata ya kubahatisha, niliuliza katika Google, "Why a day has 24 hours?" na nimepata jawabu za kunishawishi niridhike. Ninawashauri wale walio wadadisi watupie jicho huko.
Google inaweza kuwa rejea ya kuaminika kama unapotafuta kitu unakumbana na vyanzo tafauti vinavyozungumzia suala hilo hilo. Vyenginevyo, kwa kutegemea rejea (reference) moja tu, google haiaminiki. Hata hiyo ya kupata rejea nyingi, inakubidi "...ya kuambiwa, uchanganye na yako."Mkuu unaiamini google....
Google inaweza kuwa rejea ya kuaminika kama unapotafuta kitu unakumbana na vyanzo tafauti vinavyozungumzia suala hilo hilo. Vyenginevyo, kwa kutegemea rejea (reference) moja tu, google haiaminiki. Hata hiyo ya kupata rejea nyingi, inakubidi "...ya kuambiwa, uchanganye na yako."
Qur-an inasema allah amekuumbieni usiku na mchana ili mpate kujua idadi ya miaka( miezi,masiku,masaa) na hesabu(ahadi mlizowekeana). Kwa kuwa mchana unadumu kwa takriban masaa 12, na usiku unadumu kwa takriban masaa 12. Ndo tunapata masaa 24 ya siku. Allah knows best.
Hahahahaa!!dah!!za uso live!! hilo swali ni gumu mno na hawezi jibu.unaposema allah knows best unamcompare na nani?
unaposema allah knows best unamcompare na nani?
kwann hiyo iwe 12hrs, kwann mchana usingekuwa na masaa6 na usiku ukawa na masaa6 ktk kipimo kilekile cha kubalance mchana na usiku... Vinginevyo utoe tena andiko linalo-cite kuwa mchana una masaa12...
Na hivi mwezi usingekuwepo, siku zingekuwa zinaishia tarehe ngapi?
Wafanyakazi mshahara tungekuwa tunalipwa tarehe ngapi?
Lukansola hata kama siku ingekuwa na saa 48, mambo yangekuwa yale yale, mimba ungebebwa miezi 18, labda tofauti ni kwamba watu waliokufa juzi juzi wangekuwa bado wapo na wengi angekuwa hajazaliwa!