Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Masaa 8 fanya kazi
Masaa 8 fanya ibada
Masaa 8 pumzika.
Nalog off
Masaa 8 fanya ibada
Masaa 8 pumzika.
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi ya masaa si mahesabu ya dunia kujizungusha katika safari yake kulizunguka jua. Kwamba siku za dunia kulizunguka jua ni kipimo sahihi sababu ya kutumia majira ya siku ya usiku na mchana, lakini masaa ni matakwa aliyopanga binadamu na imepokeleka hivyo.
Mapokea katika kutumia masaa 12 au 24 ni kizungu, asili yetu waafrika hatukutumia masaa ila mwenekano wa jua kuchomoza, utosini na kuzama kisha usiku. Usiku kipimo kilikuwa nyota ambazo zilizoeleka za jioni, usiku kati na nyota ya asubuhi.
Kutumia 12 au 24 haijatoka kwa mzungu, infact hata napmba zenyewe hazijatoka kwa mzugu..
Hii imetoka kwa egyptians sababu mgawanyiko wa 12 ulivo..
Kwann hiyo iwe 12hrs, kwann mchana usingekuwa na masaa6 na Usiku ukawa na masaa6 ktk kipimo kilekile cha kubalance mchana na usiku... vinginevyo utoe tena andiko linalo-cite kuwa mchana una masaa12...
Determinant factor ni mzunguka wa dunia kwenye muhmi, kadhalika kulizunguka jua.Ishu ya usiku na mchana inategemea position ya dunia kwa mahusiano yake na position ya jua.Kuna maeneo kadha ya dunia yanapata mwanga wa jua kwa zaidi ya miezi3 masa24.