kayaman twende naye mdogomdogo tu mbona mweupe tu huyu? Ukali ni dalili ya kutojiamini na kujihami
Wewe unaejiami mbona unashindwa kuja? Nakuapia njoo, halafu kesho uje kuhadithia humu JF, kama utaweza. Unangoja nini?
Kama huijuwi Kariakoo, mwaka huu utaijuwa, tafadhal.
Kama unajua tafadhali nielimishe, nimeijiwa tu na hili wazo from nowhere nikiwaza ingekuwaje siku ingekuwa na saa 48 kwa mfano; ningeweza kuwa na muda zaidi?
Si nadra siku kuisha ukiwa na viporo vya majukumu...
Anyways back to the topic, ni nani aliamua siku iwe na saa 24 tu?
Acha mikwara faiza angalia usije simulia wewe...! Tuache majigambo ya jamvini kariakoo kubwa taja mtaa na nyumba! Tiptop mpaka hapo mbona dakika tuu
Lumumba na Udoe, ghorofa ni moja tu hapo kona, ghorofa ya tano. Floor nzima ni yangu, tafadhal,
Tena si kuhadithia tu na picha ntaweka.
Kama unajua tafadhali nielimishe, nimeijiwa tu na hili wazo from nowhere nikiwaza ingekuwaje siku ingekuwa na saa 48 kwa mfano; ningeweza kuwa na muda zaidi?
Si nadra siku kuisha ukiwa na viporo vya majukumu...
Anyways back to the topic, ni nani aliamua siku iwe na saa 24 tu?
Kwa kifupi wamisri waliipenda namba 12 kuliko 10 kwa kuwa inagawanyika mara nyingi kuliko 10...ndio maana hata kwa mwaka kuna miezi 12.
The earth spins on it axis for 24horas hii ni somo la form 1 labda mtaala wa siku hizi haufundishi hili au mleta mada hakupita form one?
Kama unajua tafadhali nielimishe, nimeijiwa tu na hili wazo from nowhere nikiwaza ingekuwaje siku ingekuwa na saa 48 kwa mfano; ningeweza kuwa na muda zaidi?
Si nadra siku kuisha ukiwa na viporo vya majukumu...
Anyways back to the topic, ni nani aliamua siku iwe na saa 24 tu?
View attachment 213602
Idadi ya masaa si mahesabu ya dunia kujizungusha katika safari yake kulizunguka jua. Kwamba siku za dunia kulizunguka jua ni kipimo sahihi sababu ya kutumia majira ya siku ya usiku na mchana, lakini masaa ni matakwa aliyopanga binadamu na imepokeleka hivyo.
Mapokea katika kutumia masaa 12 au 24 ni kizungu, asili yetu waafrika hatukutumia masaa ila mwenekano wa jua kuchomoza, utosini na kuzama kisha usiku. Usiku kipimo kilikuwa nyota ambazo zilizoeleka za jioni, usiku kati na nyota ya asubuhi.
hiyo ni Jiografia ya Kidato cha III au hata STD IVqur-an 36:38 "na jua linapita katika vituo vyake.mwendo huo ni makadirio ya mwenye nguvu(za kulipitisha),mwenye ujuzi(masaa 12 ya mchana ufanye kazi kwa kiasi na masaa 12 ya usiku upumzike kwa kiasi) muhimu:qur-an 18:54 ".....mwanadamu ni kiumbe anayependa mijadala"
Umechemka Wile GAMBA, kama ni mimba; kwa saa 48 kwa siku ingekuwa miezi minne na nusu au?
Mkuu hapa hatuongelei dunia kulizunguka jua bali dunia kujizungusha kwenye muhimili wake!
ni sawa na mtu akwambie umuonyeshe mwanzo na mwisho wa duara.Kati ya usiku au mchana, kipi kinaanza?
They say one day has
"23hours, 56minutes and 4seconds" and not 24hours
Hayo tumejipangia wenyewe tu kwa maana jela siku moja ina masaa 12