Je unajua ni kwanini siku ina saa 24?

Masaa 8 fanya kazi
Masaa 8 fanya ibada
Masaa 8 pumzika.
Nalog off
 
Kutumia 12 au 24 haijatoka kwa mzungu, infact hata napmba zenyewe hazijatoka kwa mzugu..
Hii imetoka kwa egyptians sababu mgawanyiko wa 12 ulivo..
 
Kutumia 12 au 24 haijatoka kwa mzungu, infact hata napmba zenyewe hazijatoka kwa mzugu..
Hii imetoka kwa egyptians sababu mgawanyiko wa 12 ulivo..

lete uthibitisho si kujenga hoja yako.
 
Kwann hiyo iwe 12hrs, kwann mchana usingekuwa na masaa6 na Usiku ukawa na masaa6 ktk kipimo kilekile cha kubalance mchana na usiku... vinginevyo utoe tena andiko linalo-cite kuwa mchana una masaa12...

Determinant factor ni mzunguka wa dunia kwenye muhmi, kadhalika kulizunguka jua.Ishu ya usiku na mchana inategemea position ya dunia kwa mahusiano yake na position ya jua.Kuna maeneo kadha ya dunia yanapata mwanga wa jua kwa zaidi ya miezi3 masa24.
 
Unamaanisha masaa 24 mchana yakifuatiwa na masaa 24 usiku kwa muda wa miez mi3? Maeneo gani hayo Mkuu? maana ndo kwanza naisikia kwako hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…