Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

mie nataka wawe wananilinda nyumbani kwangu, si ni hiyo hiyo 30 kisheria inatosha pia ?
 
Haya nenda na hiyo 30k yako sentro waambie unaomba escort kama hujawapa shida familia yako kukutoa selo, chezea watu wote siyo polisi wa tanzania kama wanathubutu kuua hadi mlinzi kisa msako wa malaya
 
Pikipiki ya kingora defender mbili mbele na nyuma kwa elfu 30 utakuwa ni muendelezo wa utani kati raia na polisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unatakaa wanakijiji wakuogope Kwan una ugomvii nao!!! Au unatakaa uheshimikee tu na c kuogopekaa mkuu..[emoji23][emoji23]
 
Wewe ndiyo hujaelewa mkuu
Elfu30 ni mali uliyonayo wewe na serikali yako imeona itunge sheria kwamba ikiwa unahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine na unakiasi kuanzia hicho cha pesa basi waweza kuwataarifu polisi wakupe escort for free mpaka unapoenda
 
Asee . Wanakupakia kwenye bodaboda au wanakusindikiza na gari yao?
 
elfu ishirini mkuu sio 30
 
ukiwa unazipeleka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…