Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

Miaka ya sabini wahasibu na watu binafsi walikuwa wakiporwa fedha walipokuwa wakienda au kutoka benki. Na matukio mengine yalikuwa fake. Kwa wakati huo Sh.20,000 ilikuwa ni mishahara ya taasisi nzima au mauzo ya wiki na zaidi. kuona hivyo serikali ikatunga sheria hiyo kwamba mtu yeyote akiwa anaenda au anatoka benki lazima asindikizwe na polisi. Na benki walikuwa hawalipi cheki ni lazima polisi asaini nyuma ya cheki kuthibitisha escort yake. Kuna wahasibu wajanja walikuwa wakiandika cheki ya 19,900 au cheki mbili za sh. 10,000 kukwepa adha ya kufuata escort. kwa bahati mbaya sheria hii imepitwa na wakati na haijarekebishwa.
 
Kumbeeee
 
Sasa kama nina ki-elfu hamsini changu nataka nikanywe beer bar naweza kuomba escort! manake bar kuna wahuni wengi
 
Mh wewe unataka kunifukuzisha kazi sio bure .

Wenzio wana mpaka namba za maboss wa mkoa na wilaya yaani ukiharibu kidogo washapiga simu sasa kwa bangi si nitakuwa jobless sio muda .

Kwa bundi iko poa lakini huku wachawi wanauwawa wataniua usiku usiku hawana dogo hawa ndugu zake Mpenja

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama nina ki-elfu hamsini changu nataka nikanywe beer bar naweza kuomba escort! manake bar kuna wahuni wengi
Naaam , unakunywa hapo mpaka unamaliza.

Baadhi ya nchi mapolisi hawana mishahara , kazi Yao ndio hiyo mnakunywa anawalinda mpaka mnamaliza kisha mnampa chochote kitu kwa kuwalinda.
 
Askari anachukua ngapi
 
Bure ni maneno tu.
Lazima uwalipe pesa la sivyo watazaa na wewe.
Eti eskoti bure??
Serious?
 
Bwa sheee unahamu ya washawasha na virungu!
Watasema wewe una njaaa subiria afande Mwita, akuletee chai!!
Haloooo hebu li arrest Hilo[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…