achana na dini bible is full of code ? nduguYesu anaerud sio kama yule aliyekuja kama binadamu mkuu. Huyu anaekuja ni mfalme na kuja kwake ni kwa kutisha na hatakanyaga tena hii ardhi na atashukia mlima sayuni na wakati huo kabla hajaja kutatokea vita kubwa ya dunia na hiyo vita kilele chake kitakuwa kwenye uwanda wa yehoshafati. Biblia ina code nyinvi sana ukitaka kusoma kwa kuijua ina vitu vingi sana vya kutisha.
Zingatia kuna vipofu, huwenda na wewe ni mmoja waoYesu alisema atakapokuja kila jicho litamuona zingatia neno kila jicho, hao brazahudi mjomba angu huko kijijini atawasach vipi?
Yes ni code tupu. Ukiisoma biblia ukaaielewa maisha kwako ni marahic sana. Biblia inaelezea mahusiano makubwa kati ya roho na mwili hizi dunia mbili tofauti ukizijulia umetoboaachana na dini bible is full of code ? ndugu
hao vipofu hawana macho? kama awanayo siku hiyo yataonaZingatia kuna vipofu, huwenda na wewe ni mmoja wao
Hii dhambi uliyofanya kuifuta ni rahisi tu..unapaswa kutafuta muda uombe sala ya tobaKwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman
Yes ni code tupu. Ukiisoma biblia ukaaielewa maisha kwako ni marahic sana. Biblia inaelezea mahusiano makubwa kati ya roho na mwili hizi dunia mbili tofauti
Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, mwenye nguvu wa kuokoa.” ISAYA 63.1Yes ni code tupu. Ukiisoma biblia ukaaielewa maisha kwako ni marahic sana. Biblia inaelezea mahusiano makubwa kati ya roho na mwili hizi dunia mbili tofauti ukizijulia umetoboa
Habari, ndugu. Vipi, uko salama kiakili ?Kwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman
Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, mwenye nguvu wa kuokoa.” 63.1 .Hii dhambi uliyofanya kuifuta ni rahisi tu..unapaswa kutafuta muda uombe sala ya toba
Tenga muda wa kujifunza mkuuNi nani huyu anayekuja kutoka Edomu, kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, mwenye nguvu wa kuokoa.” 63.1 .
Ndo mwamposa kumbeKwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman
Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, mwenye nguvu wa kuokoa.” Isaya 63 ;1achana na dini bible is full of code ? ndugu
Kichaa weweKwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman