wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,065
- Thread starter
- #61
achana na dini bible is full of code ? nduguYesu anaerud sio kama yule aliyekuja kama binadamu mkuu. Huyu anaekuja ni mfalme na kuja kwake ni kwa kutisha na hatakanyaga tena hii ardhi na atashukia mlima sayuni na wakati huo kabla hajaja kutatokea vita kubwa ya dunia na hiyo vita kilele chake kitakuwa kwenye uwanda wa yehoshafati. Biblia ina code nyinvi sana ukitaka kusoma kwa kuijua ina vitu vingi sana vya kutisha.