Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

Sijui nitampata lini nioe.
Mana nimeshafuzu kozi zote za kuishi kwa raha kwenye ndoa.
Muhim naye awe muumin wa kuishi na rafiki mwema!
(Ila hiki kigezo cha kumtafuta asiyezaa kabsa kinanipeleka uzeen sasa)
 
Sijutii, 13 good yrs. Sijapata bado sababu ya kujuta.
 
Naona Pasco cassiani nae kamwaga manyanga Jimbo lipo wazi.
Wanawake wa Kikristo hawaandaliwi kusimamia wajibu wao kwenye ndoa
 
Ngoja baharia niendelee kupitia comment pole pole labda zitanishawishi nitafute sasa wakuzeeka nae
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nawapenda hivyo hivyo hata kama hamna akili vizuri..!!
Ahsante..!!
Akili zitakujaga tu mbele ya safari🀣🀣🀣
Kwa sasa wacha tuenjoy the moment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…