Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

Maisha yanaenda vyedi..ujutie nini sasa kwani ulilazimishwa?? And by the way mtu anaejuta ni yule alikua na too much expectations as if anaenda kaa na malaika...wengine hapa life linasonga na mtoto wa mama mkwe safiii...viugomvi vya hapa na pale ni kawaida tuu...hakuna jipya
 
Back
Top Bottom