Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?

  • Total voters
    136
Mkuu nani kakuambia ukiwa hauna ndoa hauna majukumu , kuna Mario mmoja yupo kwenye ndoa mbona ninamlisha yeye na mke wake na watoto wangu wawili na huyo mmoja wakwake, mimi nakataa ndoa kwa mfano hai.
Ukiisoma hiyo line ktk bold japokuwa umeiandika mwenyewe unaielewa?

Ndo maana nasema tatizo waanzilishi au watetezi wa hizi hoja ni watoto wadogo wasiojitambua,unamlisha mwanaume mwenzio na mke wake na watoto wako wewe nani?shoga au basha!
 
Haujaelwa coz haujasoma comment ya niliye mjibu, ni hivi nilizaa na mwanamke watoto wawil akaolewa ndoa na jamaa mmoja ambae amezaa nae mtoto mmoja , kwa hyo yule mama ana watoto watatu , huyo jamaa hajishughulishi ninapotuma matunzo ya watoto wangu na mama yao nae jamaa yupo mezani anakula .
 
Ushoga na Usagaji vitaongezeka kwa kasi ya 5G
Unaelewa maana ya ndoa lakini? Halafu haya madude mnakuja kuyapa vipaumbele mwenyewe kila ktu ushoga ,unachojaza kichwani kila mara kitakuja kushape tabia yako.
 
Unaelewa maana ya ndoa lakini? Halafu haya madude mnakuja kuyapa vipaumbele mwenyewe kila ktu ushoga ,unachojaza kichwani kila mara kitakuja kushape tabia yako.
Mkuu hawa jamaa wanaongea kiushabiki na hisia tu
 
Kwa maisha ya sasa kijana haitaji ndoa kabisa ndoa ni utapeli mambo leo ndoa imeletwa kumkandamiza mwanamme
Nashauri vijana tusioe kuwa na mtu wa kuishi nae zaa nae ila USIOE
 
Mm naona wanaume wengi wanakataa ndoa kigezo kikiwa ni fedha.
Okay sawa msijali tutawaoa na kuwalisha kama vipi...

Kubali ndoa ndo mpangoo wapo wanawake wanaojielewa na wanaoweza kufanya kazi na kuleta maendeleo..

Ww unaenda kuoa mtu aiseleweka unakuja kujilalamisha
 
Haujaelwa coz haujasoma comment ya niliye mjibu, ni hivi nilizaa na mwanamke watoto wawil akaolewa ndoa na jamaa mmoja ambae amezaa nae mtoto mmoja , kwa hyo yule mama ana watoto watatu , huyo jamaa hajishughulishi ninapotuma matunzo ya watoto wangu na mama yao nae jamaa yupo mezani anakula .
I see, experience zenu mbaya zisiwafanye kuwa influence wanaume wengine negatively pumbafu
 
Mimi sijakataa,
Ndio maana nikasema Kwa mfumo wa zamani ndoa ni muhimu.
Ila Kwa Hali ilivyo na mabinti na Vijana mifumo wanayoitumia ninakuhakikishia ndoa ni zaidi ya UHUNI, Utapeli, mateso, nmk.

Ingawaje Mimi nimeoa
Sasa si uvunje hiyo ndoa yako? Au wewe ulioa kwa mfumo wa zamani?
 
Back
Top Bottom